Twaweza Appoints Aidan Eyakuze as its new Executive Director

Twaweza Appoints Aidan Eyakuze as its new Executive Director

Hata akina Mwakyembe wako Malawi, hii haimfanyi Mwakyembe kuwa Mmalawi. Wazungu wakati wanatugawa, hawakuwa wanaangalia majina au makabila.
Kuna ukweli, nilitahayari India, ktk orodha ya hotel tuliofikia niliona jina MALETA, nikashoboka nikijua MMATUMBI mwenzangu wa Tanzania, lahaula! Jamaa wa Malawi.
 
Think Tanks nyingi duniani hutumika kuuaminisha umma kuhusu swala fulani... Hivi mnafikiri hata hizo takwimu za world Bank ni sahihi??

Economic Hitmen wapo wengi sana...

Ethos.
Nilimuelewa sana John Perkins kwenye kitabu chake cha Economic hitman
 
Ayakuze, kama sikosei haya majina ni ya pande za Rwanda na Burundi.
Nimesoma na mtu wa familia hii ya Eyakuze, ni wahaya wenye asili ya Uganda maarufu Kama Waganda Kyaka....
 
Think Tanks nyingi duniani hutumika kuuaminisha umma kuhusu swala fulani... Hivi mnafikiri hata hizo takwimu za world Bank ni sahihi??

Economic Hitmen wapo wengi sana...

Ethos.
You are right.
Wanatumika kubadili mawazo ya watu kuhusu jambo fulani.
 
Back
Top Bottom