Twaha Mwaipaya apata dhamana

Amejifunza, Siasa sio uhuni
 
Nikisikia mtu kama Mdude Chadema amekamatwa na Polisi kamwe siwezi kumuonea huruma, kuna baadhi ya vijana wa hovyo sana chadema, na Mwenyekiti Mbowe alishawaambia waache kutukana viongozi mitandaoni, halafu mbaya zaidi unatukana kwenye mitandao ambayo unajurikana wazi kama Facebook, dakika sifuri tu stono wanakutia pingu.
 
Mdude sio chizi atoe lugha kali bila sababu, madhila wanayofanyiwa makusudi ndio yanasababisha hali aliyonayo, na huwezi kumkwaza mtu kwa makusudi halafu utegemee akuchekee, labda awe taahira.

N.B.
Vipi leo, umeshalamba asali lita ngapi?
chunga sana usije kuharisha!.
 
Mwendazake anahusika?

Bavicha bure kabisa
 
Ndio ajifinze sasa ,M/kiti wake katulia kimya yeye anasumbua watu
 
Ujinga wa Bavicha ndio huu, kila mtu ambaye hakubaliani na tabia za kipumbavu na kifala mnasema kalamba asali, haya Peter Msigwa ameshahamia ccm?
 
WENZAKO SIYO WAOGA KAMA WEWE
 
Ujinga wa Bavicha ndio huu, kila mtu ambaye hakubaliani na tabia za kipumbavu na kifala mnasema kalamba asali, haya Peter Msigwa ameshahamia ccm?
Nyerere angewaza hivi wakoloni wangekuwepo hadi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…