amos eglan
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 310
- 462
Habari za muda huu ndugu wana jf
Kiukweli kwa mwaka huu ukiniuliza vituo ambavyo taarifa zao za habari zilikuwa zenye mvuto kwangu basi ni TV 1 na channel ten kiukweli japo watu tumejenga mazoea ya kuwa taarifa za habari ni ITV na TBC lakini hawa jamaa wamejipanga aisee kuanzia watangazaji mpangilio wa habari na habari zenyewe nawapongeza sanaa haswa TV1 kituo kichanga lakini kimejipanga kwa hilo
Mwisho kabisa kituo ambacho taarifa zake za habari huwa hazinifuvii ni clouds TV hawa jamaa ki ukweli kwenye swala hili hawajajipanga hata kidogo na inaonesha hawaipi kipaumbele kabisaa labda programs nyingine za burudani maana hawa wanaweza hata taarifa ya habari waisogeze muda kwa ajili ya shilawadu na usomaji wao hauvutii kabisaaaa wajipange wao wana taarifa za habari za mheshimiwa makonda tu
Tbc one hawa jamaa taarifa zao za habari nao siku hizi znakosa mvuto kabisa maana wanaingiza siasa Sana na habari zenye upinzani hawawezi kuzirusha na taarifa za uzinduzi ndo zinatawala kingine picha hazina muonekano mzuri kabisaa muda mwingine zinakata kata
ITV Tanzania hawa tunawafahamu ni manguli kwenye urushaji wa taarifa za habari na Nina uhakika asilimia zaidi ya 70% ya waangalia habari hutumia kituo kimekuwa Kama kituo cha taifa kwa urushaji taarifa za habari lakini kitu wanachoboa ni taarifa za habari za michezo zao huwa ni kituko tuu
Star tv hawa taarifa yao bhana ni ndeefu kana kwamba ni Kama makala na habari zao zingine znachosha kuangalia Lakini wapo vizuri pia haswa habari za michezo na kimataifa nawakubaligi sana