TV yenye king'amuzi ndani!

TV yenye king'amuzi ndani!

swank

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
748
Reaction score
1,043
Habarini wanajamvi!

Samahanini nina tatizo au shida kidogo imenitokea hapa!

Juzi nilinunua TV (Samsung flat screen) wakaniambia ina king'amuzi ndani na wakaitest palepale na kweli channel nyingi tuu zikaonyesha!

Sasa nimefika huku mpaka sasa nahangaika tuu channel zipo lakin hazionyeshi! Nimemuita fundi nae ameshinda hapa toka asubuhi anatengeneza lakini hakuna mabadiliko!

Naombeni msaada wenu, shida itakua nini? Maana nimeweka mpaka antenna lakini channel bado hazionyeshi!

Shukrani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetia kadi ya kampuni gani ndani ya hiyo built in decoder Tv?
 
Watanzania ni wepesi kusahau, apo alishasau kitu gani walifanya dukan, akaita mpaka na fundi,.. Dayummm!!!
 
Bora ununue tu kinģamuzi sijawahi kuona hiyo mambo ikifanikiwa katika zama hizi za digital sanasana utapta tbc tu
 
tuambie ulinunua wap na ukaenda kutumia wap hapo ndo tutakuelekeza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom