Elly255
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 882
- 1,433
Wakuu habari zenu,
Ni kama siku 3 zilizopita nimenunua Tv ya Sumsung M5000, 5 series yenye inch 32. Kila nikiwasha kuna picha moja haitoki kabisa hata nikiwa naangakia movie inakuwa inahama upande mmoja wa kushoto kwenda kulia.
Nimeshindwa kutoa kabisa hii picha wazoefu naombeni msaada.
Picha ni kama inavoonekana hapa chini