TV yangu flat sijaielewa, naombeni msaada

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Habari wakuu,

TV yangu ikiwa on nikiigusa kwenye ufito/ Kingo zake na viganja huwa sihisi chochote but nikigeuza mkono au kuweka shavu na hisi kitu Kama shoti hivi. Je, hii hali ni kawaida Kwa TV zote zikiwa on?
 
Weka matako kwenye kochi buraza! Hio Tv ni appliance ya umeme ukisikia inachoma ujue uko peku, vivyo hivo kwa friji! Ukiwa peku we ndio unatumika kama earthing wire!

Dah kama mimi nilitoa fingerprint kwenye simu iliyokuwa kwenye chaji kwa umeme wa DC nilishituliwa na short nikatupa simu yangu kuleeee
 
Weka matako kwenye kochi buraza! Hio Tv ni appliance ya umeme ukisikia inachoma ujue uko peku, vivyo hivo kwa friji! Ukiwa peku we ndio unatumika kama earthing wire!
Kuanzia Leo nitakaa nayo mbali
 
Back
Top Bottom