mlanguzi
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 181
- 10
Live ni kipindi cha masheikh na siasa
Wanatoa historia ndefu kuhusu waislam walivyoongoza mapambano ktk kumkomboa Mtanzania.
Wanamtaja Mwalimu Nyerere kama alikubali kufunga saumu kwa kushrikiana na masheikh.
Wanadai Mwalimu alikuwa karibu zaidi na Masheikh kuliko viongozi wa dini nyengine ktkKupigania Uhuru
Watoa maada
ni wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Waislam (MUM)
kwa kweli mengi wengine tulikuwa hatuyajui. kama ndiohistoria hii inayozungumzwa na wasomi wetu hawa. Basi mwalimu nyerere alikuwa ni mtu Pembeni kabisa ktk sakata la uhuru
Ni 104.4 Sasa hivi