Tv & radio Imaan: Masheikh ndio walihusika zaidi na ukombozi wa nchi hii!

Status
Not open for further replies.
Kazi gani hizo?! Nyerere ni mtu aliyeshindwa siongezei neno hata moja la kwangu soma wikipedia inavyomuelezea:
Nyerere issued the Arusha Declaration, which outlined his socialist vision of ujamaa that came to dominate his policies. The policies led to a collapsing economy, systematic corruption, and unavailability of goods. In the early 1970s Nyerere ordered his security forces to forcibly transfer much of the population to collective farms and, because of opposition from villagers, often burned villages down. The campaign pushed the nation to the brink of starvation and made it dependent on foreign food aid.

Would you quote Wikipedia on any scholarly work?
 
Tulikuwa vipanga mpaka wanaogopa kukata majina, ndio maana tukipenya hadi mwisho..

Siyo nyie 83% wanawekwa vilaza wanatuharibia nchi kwa ufisadi, ujinga, ubaguzi, roho mbaya, all nonsense

Kama kweli hamjafaulishwa na NECTA 83% ya civili servant wakristo lakini nchi maskini (kwanini vilaza watupu)

VIPI HAWA

  1. Chama tawala Tanzania ni CCM na mwenyekiti wake ni Muislaam,
  2. Tanzania tunao Raisi wawili na wote ni Waislaam.
  3. Anayeunda serikali na kuiongoza ni Muislaam
  4. Anayewateua watendaji wakuu pamoja na Waziri Mkuu ni Muislaam.
  5. Tanzania tunao Makamu wa Raisi watatu na wote ni Waislaam.
  6. Jemadari Mkuu wa majeshi Tanzania ni Muislaam.
  7. Mkuu wa polisi Tanzania ni Muislaam.
  8. Mkuu wa Usalama wa Taifa ni Muislaam.
  9. Mkuu wa Mahakama Tanzania ni Muislaam.
  10. Ardhi yote ya Tanzania ni mali ya serikali inayoongozwa na Muislaam.

WOTE NI VILAZA??!! na ANNA GHASIA PIA MLIEMPA TUZO.

NENDENI SHULE MAANA WAKRISTO NA WAISLAM WANAAJIRIWA KWA VYETI VYAO SI DINI YAO
 
VIPI HAWA

  1. Chama tawala Tanzania ni CCM na mwenyekiti wake ni Muislaam,
  2. Tanzania tunao Raisi wawili na wote ni Waislaam.
  3. Anayeunda serikali na kuiongoza ni Muislaam
  4. Anayewateua watendaji wakuu pamoja na Waziri Mkuu ni Muislaam.
  5. Tanzania tunao Makamu wa Raisi watatu na wote ni Waislaam.
  6. Jemadari Mkuu wa majeshi Tanzania ni Muislaam.
  7. Mkuu wa polisi Tanzania ni Muislaam.
  8. Mkuu wa Usalama wa Taifa ni Muislaam.
  9. Mkuu wa Mahakama Tanzania ni Muislaam.
  10. Ardhi yote ya Tanzania ni mali ya serikali inayoongozwa na Muislaam.

WOTE NI VILAZA??!!

Hawa ndio walau wanasaidia hiki kidogo unachoona kinapatikana lakini kupitia wale vilaza, roho mbaya, wachoyo, wabaguzi wanaounda 83% ya system wanakwamisha nchi hii kuendelea..

Kama wewe una fikra huu watu 83% wanashindwa nini kuleta mabadiliko yenye tija kwa nchi yao kama siyo kwamba ni VILAZA (NECTA upendeleo)?
 
JE! MFUMO KRISTO UTACHAGUA KIONGOZI MUISLAM?

JE! Umesahau Ulisema KIKWETE NI DHAIFU na ukasema HAO WANATUMIWA NA MAASKOFU.. Leo hii unasema ni AFADHALI???

MANENO YAKO HAYA HATA AIBU HUNA...

Topical said:
Hao wote wanatumikia
mfumo kwasababu ya
udhaifu wao wanasikiliza
pressure za maaskofu.
wakristo gani
wanapendelewa "wote"
 
JE! MFUMO KRISTO UTACHAGUA KIONGOZI MUISLAM?

JE! Umesahau Ulisema KIKWETE NI DHAIFU na ukasema HAO WANATUMIWA NA MAASKOFU.. Leo hii unasema ni AFADHALI???

MANENO YAKO HAYA HATA AIBU HUNA...

Taking things out of context..utachemsha mkuu au ndio ule upendeleo unakusumbua mkuu..

Usichukue maneno yangu ya topic nyingine kuweka kwenye topic nyingine huo ukilaza..
 
Taking things out of context..utachemsha mkuu au ndio ule upendeleo unakusumbua mkuu..

Usichukue maneno yangu ya topic nyingine kuweka kwenye topic nyingine huo ukilaza..
MBONA UELEWEKI..?? Wanatumiwa na Maaskofu halafu ndo Wanawasaidia, halafu ni wadhaifu.

WHICH IS WHICH?

Topical said:
Hao wote wanatumikia
mfumo kwasababu ya
udhaifu wao wanasikiliza
pressure za maaskofu.
wakristo gani
wanapendelewa "wote"

Topical said:
Hawa ndio walau wanasaidia hiki kidogo unachoona kinapatikana lakini kupitia wale vilaza, roho mbaya, wachoyo, wabaguzi wanaounda 83% ya system wanakwamisha nchi hii kuendelea..

WANAOTUMIWA NA MAASKOFU LENU WAMEKUWA WAZURI KWENU??

HALAFU UNAWADANGANYA WAUMINI NA MARAFIKI ZAKO KUWA KUNA MFUMO KRISTO-Wakati Wewe mwenyewe unajipinga kwa Maneno Yako.

ELIMU INAHITAJIKA,
 
wewe kuandika herufi kubwa haibadilishi kwamba kitu..

wewe andika kawaida tu, wali huna sababu ya kuchukua comments "out of context"

Hasara ya taifa ni watu kama nyinyi 83% without effect usichanganye madawa...

Kama 83% of civil servants ni wakristo, wanatumia hekima za kikristo kwanini tupo maskin?
 
Yan nyerere alikuwa mtu wa pembeni kwenye ukombozi wa nchi hii, huu ni uongo mbaya sasa.
 
wewe kuandika herufi kubwa haibadilishi kwamba kitu..

Wewe andika kawaida tu, wali huna sababu ya kuchukua comments "out of context"

hasara ya taifa ni watu kama nyinyi 83% without effect usichanganye madawa...

Kama 83% of civil servants ni wakristo, wanatumia hekima za kikristo kwanini tupo maskin?

nendeni shule maana wakristo na waislam wanaajiriwa kwa vyeti vyao si dini yao
 
KUHUSU MALALAMIKO YENU

AMBAO UNASEMA NI AFADHALI WAMESEMA HAYA
Topical said:
Tulitaka mahakama ya
kadhi iwe financed na
serikali on case by case
basis;
kwamba wananchi waislam
wa Tanzania watakaoamua
kutumia kadhi courts wapewe haki; kwani
wakitumia mahakama ya
kawaida kuna fedha
inatumika pia lakini
wanakuwa hawatekelezi
ibada yao na haki yao ya kidini..cost per case inaweza
ku-established kwa kutumia
system ya sasa? kama siyo
kwamba wakristo ni
wachoyo hili lingeeleweka
kwasababu waislamu hawakulalamika
walipolipiwa MoU..lakini
ukiwa mchoyo unasahau
kama na wewe ulipewa pia
na serikali..

KIKWETE- Mahakama ya kadhi itasimamiwa na waislam wenyewe bila serikali na haitajihusisha na kesi za jinai

Topical said:
Tunataka serikali iweke
kipengele cha dini
ili
kufahamu idadi ya watu na
dini zao, kwanini a. kuondoa
statistics za uwongo
zinazotolewa na taasisi mbalimbali duniani kuhusu
idadi ya waislam na wakristo
Tanzania e.g. CIA, TEC etc b.
Kufahamu level of
representation of muslims vs
the number of muslims kwasababu kwa sasa 87% of
civil servants ni wakristo na
wanatumikia mfumo kristo
kusaidia wakristo na
kuwakandamiza waislam ili
waweze kupata paradise na kuwa please maaskofu..
sidhani kama ni haki kuwa
na civil servant wengi
wakristo

Sheikh MUFTI- Kipengele cha Dini hakitawekwa maana hakina manufaa katika kuleta maendeleo ya Taifa,ni vikundi vidogo vidogo vinavyotaka kuchafua Uislam kwa faida zao Wenyewe

Dr-SHEIN- Muungano hautavunjika nitautetea na Wakiwaita kwenye maandamano Msiende

SHAMSI VUAI NAHODHA- Muungano hutovunjika na ninaupenda sana

HAYO NI MANENO YA WAISLAM WENZAKO.

WAPI MLIPOFANIKIWA NA UPOTOSHAJI WENU KWA JAMII
 
HAYA ULIOSEMA NI AFADHALI WAMESEMA HAYA

KIKWETE- Mahakama ya kadhi itasimamiwa na waislam wenyewe bila serikali na haitajihusisha na kesi za jinai

MUFTI- Kipengele cha Dini hakitawekwa maana hakina manufaa katika kuleta maendeleo ya Taifa,ni vikundi vidogo vidogo vinavyotaka kuchafua Uislam kwa faida zao Wenyewe

Dr-SHEIN- Muungano hautavunjika nitautetea na Wakiwaita kwenye maandamano Msiende

SHAMSI VUAI NAHODHA- Muungano hutovunjika na ninaupenda sana

HAYO NI MANENO YA WAISLAM WENZAKO.

WAPI MLIPOFANIKIWA NA UPOTOSHAJI WENU KWA JAMII

Herufi na rangi ndio inabadili nini? mkuu mbona mbishi ni dalili ya kutojiamini na point zako

Wao wanasema hivyo sisi tunasema hivi

83% ya civil servant ni wakristo, (so called wasomi) kwanini nchi bado maskini na rushwa kila kona..

83% hakuna effect yoyote ya maana for 50yrs..kuna elimu au ukilaza tu..jibu hii siyo unarukia rukia sensa, sijui nini..
 
SI WAISLAM WENZENU AU???

INAONYESHA JINSI GANI ELIMU INAHITAJIKA KWA UPANDE WENU ZAIDI. Si kwao Maana Wanajua Wanachofanya
 
Live ni kipindi cha masheikh na siasa
Wanatoa historia ndefu kuhusu waislam walivyoongoza mapambano ktk kumkomboa Mtanzania.
Wanamtaja Mwalimu Nyerere kama alikubali kufunga saumu kwa kushrikiana na masheikh.

Asanteni mashehe kwa kupigania uhuru wa nchi hii, Mungu atakulipeni. hiyo ni historia kubwa na mliikamilisha 1961. Sasa kuna hoja ya ziada inayoendana na wakati huu ili tujadili?
 
SI WAISLAM WENZENU AU???

INAONYESHA JINSI GANI ELIMU INAHITAJIKA KWA UPANDE WENU ZAIDI. Si kwao Maana Wanajua Wanachofanya

andika herufi za kawaida "Jiamini" usiwe attention seeker..

Jibu hii kitu: 83% ya civil servant ni wakristo (so called wasomi a.k.a wapendwa wa NECTA)...

83% hakuna effect kwenye system ya uendeshaji wa serikali (maana vichwa maji/vilaza tu wamewekwa wekwa kwasababu wanajua kuimba mapambio)..

otherwise kungekuwa na effect
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom