as a matter of fact huyuhuyu Pascal Mayalla alikuwa anatuhumiwa kuinfluence uongozi wa JF kufuta threads ambazo zilikuwa critical kwa mabosi wake
he has no moral authority kutuambia kitu humu.
Mkuu Tindo, find time msikilize Kailima toka dakika ya 26Yaani huyo dogo Paskali huwa namuangalia nachoka kabisa, nimemuangalia asubuhi Star TV anasema tume ni huru lakini sio shirikishi, na huwa anasema hivyo kila mara hapa jukwaani! Lakini hajawahi kusema hiyo tume huru kuwa shirikishi inakuwaje. Anasema mahakama na bunge pia zipo huru na tumekubali, sasa sijui amekubali yeye na nani kuwa bunge na mahakama ni taasisi huru.
Mkuu Mohammed Khatibu, Mwenyekiti wa NEC hateuliwi na Mwenyekiti wa CCM, anateuliwa na Rais wa JMT.Pascal Mayalla .
Tukiachilia mbali bunge na mahakama, hebu tuambie wewe unatumia kigezo kipi kusema kwamba NEC ipo huru Hali ya kuwa the presiding personnel anateuliwa na mwenyekiti wa chama tawala?
Mkuu Mohammed Khatibu, Mwenyekiti wa NEC hateuliwi na Mwenyekiti wa CCM, anateuliwa na Rais wa JMT.
Tanzania ina mihimili mitatu huru na vyombo huru vifuatavyo, huru kwa maana ya independent kutokana na sheria inavyoviunda
Serikali
Bunge
Mahakama
Tume ya Uchaguzi
Tume ya Haki za Binaadam
Tume ya Tabia za Viongozi
Tume ya Kuzuia Rushwa
Tume ya Madawa ya Kulevya
Ofisi ya CAG
Ofisi ya DPP
Etc
Wakuu wa vyombo vyote hivyo wanateuliwa na rais wa JMT, Spika wa Bunge ndie Mkuu wa Mhimili lakini mtendaji Mkuu wa Bunge ni Katibu wa Bunge.
Kama Bunge ni huru, mahakama ni huru na NEC pia ni huru, ila sio Shirikishi.
P
Mkuu Tindo, find time msikilize Kailima toka dakika ya 26
P
Amesema kukusanya matokeo sio kosa, kosa ni kuyatangaza.nilitegemea ungemuuliza kuwa wale wa ccm walokuwa wanakusanya matokeo mbona wao hawakukamatwa
Uteuzi wa nafasi mbalimbali ni kwa mujibu wa katiba zinafanywa na rais wa JMT. Hata inapotokea rais wa JMT ndiye huyo huyo Mwenyekiti wa CCM, uteuzi anateua kwa mujibu wa katiba ya JMT na sio katiba ya CCM. Kwa vile the dividing line between rais Magufuli as rais wa JMT and Magufuli as Mwenyekiti wa CCM is very thin, hivyo you can think whatever you think if it makes you happy, be Happy!.Pascal Mayalla acha kupindisha Mambo!
In maana we hufahamu nafasi ya Magu katika uongozi wa ccm au unataka kurefueha Mambo hapa.
Technically ni kwamba NEC ipo chini ya uongozi wa ccm that's all!
Kwani wa Ukawa pale Mlimani City walitangaza.?Amesema kukusanya matokeo sio kosa, kosa ni kuyatangaza.
P