TV ipi bora kwa bajeti ya Tsh 1.5 m


Nashauri pia atafute LG 4k UHD, au afungue wallet atafute LG nanocell au LG Oled,
Mkuu apple hawana product ya actual TV, ni kwamba wanakibox chao wanakiita apple tv ambacho kuna apps kama za iphone, lakin za kwenye apple tv zimekua optimised kwa television, ni kama android tv box hivi, kwa Hiyo iko kibox unaweza kukitumia kwa TV yeyote ambayo ina HDMI port, ina muonekano mzuri kiukwel, ila bei yake imesimama pia, kwa apple TV matoleo ya kwanza kwa sasa unaeza pata around laki tano,

 
Apple tv si Tv ni dongle tu ya kufanya tv yako iwe smart.
 
Habari zenu... Naombeni msaada wa kuchagua TV Bora (mind Sina uzoefu na TV so nahitaji na uelewa pia) budget ni 1.5mil isizidi hapo. Asanteni
Unapata kioo around inch 50 mpaka 55, ambayo ni UHD, hakikisha ina HDr10, Hdr10+ ama Dolby vision, iwe smart, unapata Brand zote kubwa kuanzia Samsung hadi LG.

Pia usisahau warranty ya maandishi.
 
Unapata kioo around inch 50 mpaka 55, ambayo ni UHD, hakikisha ina HDr10, Hdr10+ ama Dolby vision, iwe smart, unapata Brand zote kubwa kuanzia Samsung hadi LG.

Pia usisahau warranty ya maandishi.
Asante ntazingatia
 
Tafuta nanocell ya LG inches 50 unapata kwa hiyo pesa, ni mkasi kweli huwezi juta huku ukienjoy magic remote
 
Tafuta
1.TCL
2.SKYWORTH
3.SAMSUNG
4.LG
5.HISENSE
6.SONY
7.PANASONIC (sasa hv zinatengenezwa na skyworth)
Ukipata moja kati ya hzo kwa budget yako utakuwa umelamba dume.
Skyworth mm ninayo ila watoto wamevunja kioo haikuwahi kunipa shida yoyote kipindi Cha uhai wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…