FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,211
Hongera kwa wote walioshiriki kufanikisha hilo.
Naitazama TV Imaan sasa hivi ikifanya "Test Signal" ikirushwa na Startimes.
Natoa pongezi za dhati kwa wote waliojitahid kwa hali na mali katika kufanikisha hilo.
Najuwa wamepitia mengi sana mpaka kufikia hapa walipo na malipo yao wote yapo yanawangoja wala wasikate tamaa.
Nimefurahishwa sana kuona mmeleta kipindi cha mahojiano na mambo muhimu yanayotuhusu kila siku kwa kumleta mtaalaam wa SUMATRA, ametoa darsa la maana kuhusu usafiri wa abiria na kipindi kimekidhi matarajio na ziyada.
Tunawatakia kila la kheri na mafanikio na urushaji mwema wa vipindi vyenu.
Nawaomba Waislam na wasio Waislam waingie na kujifunza mengi kuhusu maisha na fikra za Kiislam, wengi huwa wanapata habari za Waislam kutoka katika vyanzo ambavyo si vya Kiislam na huwa wanapotoshwa sana, sasa kitumieni chombo hicho kupata habari na kuujuwa Uislam kutoka kwa Waislam wenyewe.
Wa bi Llahi Tawfiq.