Si ni Quran hii hii ambayo inadai kuwa rahisi kueleweka?
Sasa kama ni hivyo,yanini tena kutafuta watu wanieleweshe kitu ambacho ni rahisi kueleweka?
Badala ya waislam kuimarisha taasisi
zao ndio kwanza wanazihujumu na kuanzisha maTv yasiyo na msaada kwa maisha yao...........Tazama matokeao ya ISLAMIC SEMINARY SCHOOLS utajichokea..
Ufupi wa mawazo yako ndio yamepelekea haya....naomba unijibu mswali haya rahisi tuMi napata habari sahihi za kiislam toka kwa Boko haram na al shaabab. Hao wengine sijui tv imani ni waislam jina tu hao. Waislam wa kweli wa kuwasikiliza wapo Yemen, Pakistan na afghanistan
Ugaidi utapamba moto asee.. kwanini wasiwafungie maisha
Hongera kwa lipi? Kitu gani cha maana walichofanya mpaka wapewe hongera au ndiyo yaleyale ya Radio Imaan tutaanza kuyashuhudia Live kwenye TV yao.
TCRA ifanye monitoring ya kutosha isije ikawa kama yaleyale ya Radio yao waliyoifungia kwa kueneza chuki.
Watanzania hatutaki kufika huko.
Sasa mbona unatumia lugha ya makafiri kufikisha ujumbe wako?
Ufupi wa mawazo yako ndio yamepelekea haya....naomba unijibu mswali haya rahisi tu
1. Uislamu jina unamaana gani?
2. Umetumia kipimo kipi ukawajua hao ndo waislamu wa kweli?
3. Je kinakufanya uwatoe waislam wa Tanzania ktk uislamu?
Tunashukuru kwa ujio wa Tv Imaan, ila nimeshangazwa na comments za wale wenye chuki. Ama kweli, kheri inapotufikia chuki huwapanda mpk nyoyoni na mafundo ya ghadhabu huwajaa, mnakerekwa kwa Neema yetu 1, mliyonayo mara milioni zaidi!!!. Ila pale nakama, shida, tabu na magagaziko yanapotufika, kwao wao ni starehe na hufurahi Mithli ya binadamu alie jangwani na kuyaona maji yaliyompotea. Enyi wag.alatia msio na .... Ni lini mta rejoice kwa ile kheri ndogo kwetu???. Au mpk pale tutakapoifata mila yenu? Katu, Abadan hilo halitojiri ilaa yaumal saa'at. Huko tutahukumiwa sote na kuulizwa juu ya Neema tulizopewa na vipi tulizitumia. Namshukuru Allaah kwa hii Neema ya Uislam.
Neeema ya ALLAH ni kujiripua?
TV station ni teknolojia iliyotokana na Elimu haramu ya Magharibi