Mai-Ndombe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 542
- 833
Nataka ninunue TV nzuri,budget yangu ni 400000.
Naomba ushauri.
Naomba ushauri.
Ndio mkuu. Hio budget unapata brand new samsung 32" na chenchi inabakiBoss vp?
Ndio mkuu. Hio budget unapata brand new samsung 32" na chenchi inabaki
Hahahaha hata Hisense hupati kwa Bei hyo ya kuku.samsung andaa m1+Na ukitaka ya inchi 50 kwa laki nane???
Agiza kutoka China ama Korea. Unawwza pata kwa hio beiNa ukitaka ya inchi 50 kwa laki nane???