Yaani wanaboa hawana kipindi chochote cha kuelimisha zaidi music.TVE inakipindi gani cha maana!?
Binafsi sijaona lolote la maana zaidi ya muziki 24/7 atleast Clouds wanajitahidi kidogo kwenye vipindi ingawa na yenyewe bado.
Hiyo TvE bado changa sana labda miaka saba mbele wanaweza niimpress.
kumbuka bado ipo kwenye majaribio bado hawajaanza kurusha vipindiTVE inakipindi gani cha maana!?
Binafsi sijaona lolote la maana zaidi ya muziki 24/7 atleast Clouds wanajitahidi kidogo kwenye vipindi ingawa na yenyewe bado.
Hiyo TvE bado changa sana labda miaka saba mbele wanaweza niimpress.
hata kipindi wanaanza clouds walianza na miziki 24.....hii ni lazima.Yaani wanaboa hawana kipindi chochote cha kuelimisha zaidi music.
EATV NI HABARI NYINGINE WANAJUA SANA....kiboko yao EATV
KUTOA UPINZANI KWA EATV WANATAKIWA KUFANYA KAZI KUBWA...MI NAWASUBIRI TV-E KWENYE UBUNIFU WA VIPINDI NA MPANGILIO MAANA HADI SASA EATV HANA MPINZANI.Kwa wiki sasa nimekuwa nikiitazama hii Tv stesheni ya TV E.Kiukweli niseme nawapa sifa zifutazo:-
1. Logo yao ni nzuri sana na waliodesign hii logo nawapa credit za kutosha.Ukiangalia logo ya Clouds fm haina mvuto na hata waliodesign hawakuwatendea haki clouds.
2. Graphics zo ni nzuri sana hata muonekano wake ikiwemo mpangilio wa rangi ni mzuri sana, kwa hili nawapongeza sana na nahisi wana timu ya watu makini sana.Clouds graphics zao ni mbovu sana na hata mpangilio wa rangi ni mbovu pia sijawahi kupenda muonekano wa Clouds
Mwisho niseme CLOUDS TV mjipange sana kwasababu soon mtakwenda kupoteza watazamaji kutokana na mpangili mbovu wa vipindi vyenu,muonekano mbaya wa Tv.TV E nawapa pongezi kwa mwanzo huu mzuri na nawatakia muendelezo mzuri ili mtoe changamoto kwa EATV kwani Clouds TV si mshindani kabisa.
Wanapiga mziki 24/7 kwa sababu bado wapo kwenye miezi ya testing. Ni kawaida ya tv inapoanza kupiga mziki 24/7 hadi kipindi cha uangalizi au testing kitakapokwisha.TVE inakipindi gani cha maana!?
Binafsi sijaona lolote la maana zaidi ya muziki 24/7 atleast Clouds wanajitahidi kidogo kwenye vipindi ingawa na yenyewe bado.
Hiyo TvE bado changa sana labda miaka saba mbele wanaweza niimpress.
Hujui uandikaloTVE inakipindi gani cha maana!?
Binafsi sijaona lolote la maana zaidi ya muziki 24/7 atleast Clouds wanajitahidi kidogo kwenye vipindi ingawa na yenyewe bado.
Hiyo TvE bado changa sana labda miaka saba mbele wanaweza niimpress.