Tv decoder mpya kutoka btl "anayezifahamu"

Tv decoder mpya kutoka btl "anayezifahamu"

Hizo ngoma zinaitwa HAWK 777.Hizi unaconnect na dish dogo au hata hilohilo la dstv, unaweka simcard unasubscribe bundle ya internet basi unapata channel karibu zote za dstv.zinauzwa kwa kificho from 370-400,000 ila ni nafuu ukicompare na subscription ya dstv monthly

Ni pm namba ya anayeuza nahitaji kaka haraka mkuu nisaidie!
 
Back
Top Bottom