Tv decoder mpya kutoka btl "anayezifahamu"

bank

Senior Member
Jan 9, 2011
158
195
Wadau kuna meseji zinatumwa kwenye simu zina kichwa DIGITALI
Kuelezea kuwa kuna decoder mpya zenye uwezo mkubwa zaidi wa HD,mpeg4,usb n.k
Kwa anayezifahamu tafadhali anieleze coz zinasababisha tuzisubiri na kuacha kununua zilizopo
 
chadog

Member
Aug 11, 2012
64
70
zipo..startime lazima akalishwe but hazijawa launched..soon ntakupa info nikiwa km mdau wa btl..ndio kwanza wanarecruit wafanyakaz:becky:
 
Tayo

Member
Feb 22, 2012
11
0
Mnachelewa kuleta sana huuu ndio ulikuwa mda wake startimes kauza mpaka basi.
 
Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,668
1,250
mimi pia nimepata hiyo sms,ni muda sasa,hawajasema pia wanapatikana wapi na tutegemee mzigo lini
 
PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
225
Hivyo vyote hovyo tu, kuna receiver inatumia line ya simu inakamua chanel zote za dstv haina cha premium sijui family inakunguta zote, inauzwa laki unusu ukinunua kadishi kako ka kU kwa elfu hamsini ukaweka ya mfungaji kama we si mjuzi hivyo 220 Umemaliza. inavyofanya kazi: ndani ina modem ambayo inazifukunyua chanel zote na kuzifungua unahitaji line ya simu mtandao wowote unaweka kifurushi cha mwezi haijalishi cha sh400 au elfu ngapi yenyewe ilimradi mwezi. hata ukiiwa na 50MB Inatwanga.
 
PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
225
Najua DSTV wanaumiza kichwa lakini zamu hii mchina kawashika makalio. Kinaitwa HAWAK najua wajanja wa mjini washakidaka mahoteli kibao ndo habari ya mujini. nilipewa story nkabisha. jana niliyembishia akaniita ofisinikwake nikajionee nilikaa chini. mchina noma ila nimejifunza kitu unapotoa huduma yavitu hadimu kwa garama kubwa unajitengenezea wezi mfano microsoft na windows zake.
 
Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,155
2,000

vinapatikana wapi mkuu hebu ni pm
 
Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,797
1,500

Tatizo upatikanaji wake ni mgumu sana
 
PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
225
Nimewapa jina wala haviuzwi kwa siri we zunguka maduka wanapouza madishi na tv utapata na kingine hawa jamaa si kwamba wanajificha wameweka mpaka web wanajitangaza we google hawak dvb satelite receiver wanakupa mpaka contact za kupata mzigo tena kupitia west union. Walioomba pm hakuna haja nimeweka hadharani kila mtu afaidi.
 
Mkuu acha kupotosha watu vitu kama hivyo huwa haviuzwi hovyo kama unavyofokiri its pirate stuff, nenda duka lolote la kuuza decoder waambie unataka decoder inayoittwa voxtrol kama watakupa kwanza utaulizwa kama ww ni fundi ukishangaa utaambiwa hatuuzi unajua kazi yake?
 
Inategemea na pesonarity lakini hizi zinauzwa tu wala hawafichi. au nimekuharibia kutaja bei?. kule zinakotoka wanauza $36 kwa moja.
 
sirma

Member
Apr 2, 2012
33
95
msaada jamani kariako ni maduka gani utapata receiver hizi za hawak maake nimezunguka sana lakini hola
 
Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,797
1,500
msaada jamani kariako ni maduka gani utapata receiver hizi za hawak maake nimezunguka sana lakini hola
Mkuu kwani haujasoma thread yangu hapo juu madukani zipo lakini kama wewe sio fundi au haujulikani kwenye duka husika hauwezi kuipata watakwambia hatuuzi ila kwa kuagiza zipo China zinauzwa kuanzia dola 35-50
 
Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,350
1,500
Najua DSTV wanaumiza kichwa lakini zamu hii mchina kawashika makalio. Kinaitwa HAWAK najua wajanja wa mjini washakidaka mahoteli kibao ndo habari ya mujini. nilipewa story nkabisha. jana niliyembishia akaniita ofisinikwake nikajionee nilikaa chini. mchina noma ila nimejifunza kitu unapotoa huduma yavitu hadimu kwa garama kubwa unajitengenezea wezi mfano microsoft na windows zake.
Hizo ngoma zinaitwa HAWK 777.Hizi unaconnect na dish dogo au hata hilohilo la dstv, unaweka simcard unasubscribe bundle ya internet basi unapata channel karibu zote za dstv.zinauzwa kwa kificho from 370-400,000 ila ni nafuu ukicompare na subscription ya dstv monthly
 
Top Bottom