TV Channels za mfano katika Uchaguzi Mkuu 2015

TV Channels za mfano katika Uchaguzi Mkuu 2015

Azam TV kuna watangazaji wanashindwa kuficha hisia zao kuwa wana mapenzi na chama fulani, amma CCM amma chadomo amma CUF.
 
Tunakata, tunafunua.

Tunapiga chini Lowasa
 
Tusibabaishe maneno, TV Channels zilizoonyesha weledi ni TBC1, Star Tv na Mlimani Tv. Hazikupendelea, hazikushabikia vurugu na hazikuwa zinalenga kutafuta madhaifu ya NEC kwa udi na uvumba..

Duuuuu zilongwa mbali na zitendwa mbali.
 
Cc Moderator Invisible Paw hebu soma comments hapo juu. Kuna maneno hamkuyafungia automatically ili mtu akiandika itokee ---- badala ya uwepo wake. Tafadhali zingatieni.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada najua unatuinjoy ila ukweli unaujua lakini nataka ufahamu kwamba tunafahamu fika kwamba tbc ni tv ya taifa maana yake ni tv ya watanzania it mins wafanyakazi wa tbc wanalipwa mshahala kwa kodi za watz hivyo ijitazame yenyewe na viongozi wake kama iliwatendea haki wakati wa election 'majibu yake ni kwamba kama ilitenda vyema sawa lakini kama kuna sehemu kuna mapungufu iombe ladhi kwasababu ukimwajili mtu akitenda vibaya unamuweka mwingini.
 
Back
Top Bottom