TV Channels za mfano katika Uchaguzi Mkuu 2015

analaizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
1,351
Reaction score
186
Tusibabaishe maneno, TV Channels zilizoonyesha weledi ni TBC1, Star Tv na Mlimani Tv. Hazikupendelea, hazikushabikia vurugu na hazikuwa zinalenga kutafuta madhaifu ya NEC kwa udi na uvumba..
 
Is this another way of saying zilikuwa zinalenga kuficha madhaifu ya NEC kwa udi na uvumba?

Kama madhaifu yalikuwepo kwa nini yasisemwe? Na je, ina maana katika kutazama hizo TV channels nyingine ambazo haukutaja, ulikuwa unaona tu madhaifu ya NEC? Kama ni hivyo basi NEC ilikuwa na madhaifu mengi sana.
 
Tusibabaishe maneno, TV Channels zilizoonyesha weledi ni TBC1, Star Tv na Mlimani Tv. Hazikupendelea, hazikushabikia vurugu na hazikuwa zinalenga kutafuta madhaifu ya NEC kwa udi na uvumba..

Kwel kabisa mkuu hasa TBC, The Super Brand TV Channel In Tz & East Africa if not the World.
 
Anaye sifia hizo channel anaujua ukweli ila hataki kuukiri kwenye public ila moyo wake anajua makandokando ya hivyo vituo
 
Nyamaza wewe kiwavi jeshi, nitakunasa kibao wewe rudia tena kuzungumza utumbo uone.
 
Tusibabaishe maneno, TV Channels zilizoonyesha weledi ni TBC1, Star Tv na Mlimani Tv. Hazikupendelea, hazikushabikia vurugu na hazikuwa zinalenga kutafuta madhaifu ya NEC kwa udi na uvumba..
Ni ukweli husiopingika mkuu, channels zote tajwa hapo juu ziliweka uzalendo mbele kwanza,nawapongeza sana.
 
kabisa hasa TBC aisee wako fair wale jamaa kuliko tv zote Hongera tbc na star tv kwa weledi

NB: (Soma hayo maneno hapo juu kwa kinafki)
 
Nimejaribu kusoma kwa style uliyoshauri nimeishia kuona aibu mwenyewe.
 
In order of preference:

Star Tv, Tbc1, Clouds Tv, EATV, Channel Ten, ITV, Azam Two.

Please read in reverse order!
 
Ni kweli kabisa maana hata kutangaza pindi watu wanapiga kura wao walikuwa bize nakatuni safi ndio uzalendo maana kina cnn kwa kupenda fujo hawajambo..
 
mmhm sijui niseme au niache au nichekeee :A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Tusibabaishe maneno, TV Channels zilizoonyesha weledi ni TBC1, Star Tv na Mlimani Tv. Hazikupendelea, hazikushabikia vurugu na hazikuwa zinalenga kutafuta madhaifu ya NEC kwa udi na uvumba..

Kwa huu uzi ulioupost hapa inadhihirisha kuwa wewe siyo GT na haukutakiwa kuwa JMF
 
Back
Top Bottom