Habari maintellegensia, TV yangu imeroga wazeya. Naomba msaada wa settings kwa local channels; vitu kama Frequencies, SR, polarisation n.k. Nimekwama kitu hakisomi ITV, EATV, ch10, Tbc, Star TV na ATN mpaka bunge sioni watu wangu.
Msaada tafadhali.
Nunua EasyTV
Cheap Decoder utapata channel zote za kibongo (ITV, EATV, CHANNEL 10, CLOUDS TV, STAR TV, TBC1, CHANNEL 10, C2C, DTV,MLIMANITV, TV TUMAINI N.K.) plus nyingine za NJE movie channels, news channels, sports channels, religion channels and music channels. zipo channel za kenya na uganda. What else do you need?
Subscription ilikua abt Tsh. 150,000 sijui imefika kiasi gani sasa hivi.
Monthly unalipa Tsh. 10,000
Mkuu utasahau kuzungusha antenna.

mkuu sijui mambo ya mkoani. Mi niko Dar.
Tusubiri wadau wengine waingie maybe they can help
Cheap Decoder utapata channel zote za kibongo (ITV, EATV, CHANNEL 10, CLOUDS TV, STAR TV, TBC1, CHANNEL 10, C2C, DTV,MLIMANITV, TV TUMAINI N.K.) plus nyingine za NJE movie channels, news channels, sports channels, religion channels and music channels. zipo channel za kenya na uganda. What else do you need?
Subscription ilikua abt Tsh. 150,000 sijui imefika kiasi gani sasa hivi.
Monthly unalipa Tsh. 10,000
Mkuu utasahau kuzungusha antenna.
Mkuu shukrani sana kwa habari hii ya kuvutia. Hawa watu huwa naona kibao chao maeneo ya victoria barabara ya bagamoyo jirani kabisa na taa za moroco. Ninacho omba kujua, je ni lazima kuwa na dish au wana system kama ya startimes?
Hawa waliishia wapi?