Loooooh[emoji12] umelazimishwa? TVE huoni hadi ukatizame channel za ajabu, stress zingine mnajitakia tuHivi hamna ratiba ya vipindi? Kila wakati mnaweka hilo Li chaneli KFS kwani hamna vipindi vyenu?
Mnarudia mavipindi hovyo hovyo tu mtakavyo ninyi. Mjue nasi watazamaji tuna Haki zetu. Nawaangalia ninyi kwa sababu mna picture quality bora kuzidi TV zote hapa TZ ila mnakera hamna vipindi vinavyovutia wala mpangilio mzuri.

Tv E mimi naiogopa.Loooooh[emoji12] umelazimishwa? TVE huoni hadi ukatizame channel za ajabu, stress zingine mnajitakia tu
mkuu ye kasema anaipenda hiyo, isingekuwa hivyo asinge lalamika angehamia Tv nyengineLoooooh[emoji12] umelazimishwa? TVE huoni hadi ukatizame channel za ajabu, stress zingine mnajitakia tu
Nilikuwa najiukiza au remote imepotea[emoji107]Loooooh[emoji12] umelazimishwa? TVE huoni hadi ukatizame channel za ajabu, stress zingine mnajitakia tu
Yaani we Acha tu mi mwenyewe nimekaa hapa nasubiri hakuna shame on themHivi hamna ratiba ya vipindi? Kila wakati mnaweka hilo Li chaneli KFS kwani hamna vipindi vyenu?
Mnarudia mavipindi hovyo hovyo tu mtakavyo ninyi. Mjue nasi watazamaji tuna Haki zetu. Nawaangalia ninyi kwa sababu mna picture quality bora kuzidi TV zote hapa TZ ila mnakera hamna vipindi vinavyovutia wala mpangilio mzuri.
wewe ndo kilaza kabisa tv e inaonyesha mziki masaa 24 unafaidika nini na hyo mizikiLoooooh[emoji12] umelazimishwa? TVE huoni hadi ukatizame channel za ajabu, stress zingine mnajitakia tu
Ndo hapo sasawewe ndo kilaza kabisa tv e inaonyesha mziki masaa 24 unafaidika nini na hyo miziki
Haaaaaah kumbe nayeye yumo?Tv E mimi naiogopa.
Nisije nikaitwa central na mimi Bure
Sifia kwanza.. then ponda..maliza hwa kusifia..[emoji12]Hivi hamna ratiba ya vipindi? Kila wakati mnaweka hilo Li chaneli KFS kwani hamna vipindi vyenu?
Mnarudia mavipindi hovyo hovyo tu mtakavyo ninyi. Mjue nasi watazamaji tuna Haki zetu. Nawaangalia ninyi kwa sababu mna picture quality bora kuzidi TV zote hapa TZ ila mnakera hamna vipindi vinavyovutia wala mpangilio mzuri.
wewe ndo kilaza kabisa tv e inaonyesha mziki masaa 24 unafaidika nini na hyo miziki
Nilijua nakereka mwenyewe kumbe wengi wanaboa kichizi yanHivi hamna ratiba ya vipindi? Kila wakati mnaweka hilo Li chaneli KFS kwani hamna vipindi vyenu?