Tuzo za kimataifa zamnyemelea Godbless Lema

Mh. Lema anastahili kupewa Nobel Prize award...... Amekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanyonge na kusimamia maslahi ya taifa.

He have my backing already
mkuu ujue tunaandika humu kama masihara vile , lakini ukweli ni kwamba kuna watu ambao Mungu amewaleta katika dunia hii kwa makusudio maalum , na nina hakika huyu Mh Lema ni mmojawao.
 
hapa hujanidharau mimi wala UKAWA , bali umedharau amani ya zanzibar , kitu ambacho hakitakusaidia chochote , tuliweka angalizo la Dr Magufuli kuongea na wazee wa dsm , kama nakumbuka vizuri ilikuwa nov ama dec , mlitukana matusi yote , lakini leo mmeumbuka .
Nikweli mkuu 100% ila hao hawanaga kitu aibu
 
wenye mamlaka wanasema " atakayeleta fyoko fyoko kukiona " hivi unaweza kutatua utata kwa lugha ya " kisela " namna hii ? nakulilia Tanzania .
 
Tanzania kuna wivu wa kijinga xana kwa hyo Lema kupewa tuzo watu wanaona wivu hatuwezi kufika popote mpaka kizazi kama hiki chenye wivu wakijinga kife chote kitokee kizazi kingine mybe
 
Hakuna mshindi ndio mana uchaguzi unarudiwa
tuwekee hapa matokeo , ni ajabu sana ! Taasisi ya Mwl Nyerere yenye watu wazito wenye ushawishi ndani na nje ya nchi imepigwa ganzi hadi kuzidiwa na bwana mdogo Lema ! hakika hawa wazee Mungu atawapiga laana mbaya sana .
 
Back
Top Bottom