warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,382
Leo watanzania watapata kutambua nani ananyakua tuzo gani ya kilimanjaro music award 2013 katika ukumbi wa mlimani city,baadhi ya vipengele vinavyowaniwa ni MSANII BORA WA KIKE ambacho kinawaniwa na isha mashauzi,khadija kopa,lady jaydee na recho,apa niseme tu ukweli bado sijaona msanii ambaye anaweza mpiku JIDE yaani bado sana kwa wasanii wa kike bongo kufikia level za huyu mwanadada,ninachojua tuzo ya kipengele hicho ni ya jide kama ilivyokuwa miaka ya apo nyuma,kwani siku zote amekuwa akichukua yeye,inabidi mademu wajipange sana,TEAM ANACONDA tunasubiri tuzo yetu leo.kama ukinuna,tukana,bisha ila habari ndo hiyo hutaki jinyonge#JOTO HASIRA.....