Tuzo za kili leo:jide kunyakua tuzo ya mwanamuziki bora wa kike

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,378
Leo watanzania watapata kutambua nani ananyakua tuzo gani ya kilimanjaro music award 2013 katika ukumbi wa mlimani city,baadhi ya vipengele vinavyowaniwa ni MSANII BORA WA KIKE ambacho kinawaniwa na isha mashauzi,khadija kopa,lady jaydee na recho,apa niseme tu ukweli bado sijaona msanii ambaye anaweza mpiku JIDE yaani bado sana kwa wasanii wa kike bongo kufikia level za huyu mwanadada,ninachojua tuzo ya kipengele hicho ni ya jide kama ilivyokuwa miaka ya apo nyuma,kwani siku zote amekuwa akichukua yeye,inabidi mademu wajipange sana,TEAM ANACONDA tunasubiri tuzo yetu leo.kama ukinuna,tukana,bisha ila habari ndo hiyo hutaki jinyonge#JOTO HASIRA.....
 
Kwa wafuatiliaji wa Muziki watakubaliana na mimi kuwa hata huyu Isha Mshauzi akipata sio mbaya.
 
labda akatambike umemsahau Linnah mtoto sauti kama ndege mwanana team Linnah tozo yetu hiyo. waache mazoea!
eti atachukua yeye kwa lipi na nyimbo yake ya kufukuzia ndege mashambani,Sasa ni mwendo wa vizazi vipya wazee tupa kule!
 
we umenena siyo huyo mwenye kesi muda huu atafakari kesi aliyoianzisha kwa mikono yake.Ivi hana washauri huyo dada namuonea huruma atakavyofirisiwa na kurudi kulima mihogo aje kutuuzia tule.Kesi unaanzisha wewe eti umma ukuonee huruma Ruge, Kusaga Kuleni naye sahani moja iwe fundisho kwa wale wote wanaodhani wapo juu ya sheria!
 
Leo watanzania watapata kutambua nani ananyakua tuzo gani ya kilimanjaro music award 2013 katika ukumbi wa mlimani city,baadhi ya vipengele vinavyowaniwa ni MSANII BORA WA KIKE ambacho kinawaniwa na isha mashauzi,khadija kopa,lady jaydee na recho,apa niseme tu ukweli bado sijaona msanii ambaye anaweza mpiku JIDE yaani bado sana kwa wasanii wa kike bongo kufikia level za huyu mwanadada,ninachojua tuzo ya kipengele hicho ni ya jide kama ilivyokuwa miaka ya apo nyuma,kwani siku zote amekuwa akichukua yeye,inabidi mademu wajipange sana,TEAM ANACONDA tunasubiri tuzo yetu leo.kama ukinuna,tukana,bisha ila habari ndo hiyo hutaki jinyonge#JOTO HASIRA.....

Mkuu huyo bibi tangu mwaka jana mpaka mwaka huu katoa nyimbo gani nzuri?
Au unajumlisha na nyimbo alizoimba zamaaaani enzi zile yupo chini ya Clouds Media?
 
labda akatambike umemsahau Linnah mtoto sauti kama ndege mwanana team Linnah tozo yetu hiyo. waache mazoea!
eti atachukua yeye kwa lipi na nyimbo yake ya kufukuzia ndege mashambani,Sasa ni mwendo wa vizazi vipya wazee tupa kule!

Kitu bora siku zote ni kitu ambacho kimedumu upo apo??,kama jide hastahili kupata tuzo wasingemuweka kwenye category hyo,yuko wapi ray c???,mbna yeye hajawekwa???,jide ni bora cku zote yaani kwenye hiko kipengele watachemsha tu labda wamnyime kwa sababu zao wenyew,inaelekea muzik umeanza kusikiliza jana wewe
 
Kwa wafuatiliaji wa Muziki watakubaliana na mimi kuwa hata huyu Isha Mshauzi akipata sio mbaya.

Kila mtu mkali ndo maana wakapambanishwa kwenye category hyo ila woote kwa jide bado,ivi unamchukuliaje jide???,from 2000 to 2013 sio mchezo dogo,na bado yupo kwenye game anafanya poa,ogopa sana jide wewe,anajielewa vibaya,yaani kwa msanii bora wa kike kama hawatajipanga she will always win the award nakwambia,kwanza apo tu kalamba tuzo za kutosha ila bado ana haki coz hana mpinzani
 
Leo watanzania watapata kutambua nani ananyakua tuzo gani ya kilimanjaro music award 2013 katika ukumbi wa mlimani city,baadhi ya vipengele vinavyowaniwa ni MSANII BORA WA KIKE ambacho kinawaniwa na isha mashauzi,khadija kopa,lady jaydee na recho,apa niseme tu ukweli bado sijaona msanii ambaye anaweza mpiku JIDE yaani bado sana kwa wasanii wa kike bongo kufikia level za huyu mwanadada,ninachojua tuzo ya kipengele hicho ni ya jide kama ilivyokuwa miaka ya apo nyuma,kwani siku zote amekuwa akichukua yeye,inabidi mademu wajipange sana,TEAM ANACONDA tunasubiri tuzo yetu leo.kama ukinuna,tukana,bisha ila habari ndo hiyo hutaki jinyonge#JOTO HASIRA.....

Mimi binafsi sina shida na uwezo wa dada, hata tuzo akipata ni haki yake, ana sauti nzuri na uwezo mkubwa wa kutunga mashahiri.

Ninachomuomba tu aache kuendekeza malumbano yasiyo na msingi kwa kisingizio cha kutafuta haki ambayo kwa sehemu kubwa ni hisia tupu.

Aweke nguvu na akili kwenye kipaji chake kwani uwezo anao na nafasi ya kuchanua bado ipo, lakini kamwe sitomuunga mkono kwa mambo yake ya kupotoshwa na kufuata mkumbo.

Nimekuwa nazipenda na naendelea kuzipenda nyimbo zake, hata kama ataniudhi kwa mwenendo wake.

Awe mstari wa mbele kutafuta maridhiano kesho na keshokutwa awe na la kujivunia huko aendako, na sio kushindana ili kuona mwenzake anaumia au kuangamia....then what.

Ishi ukifikiria pia kesho

................KILA LA KHERI......
 
Samahani lakini, Helloo,Gang chomba,Nyani Ngabu &co- kwenye threads za tht,clouds,rugay co workers wa clouds kwa nini mnatokwa mapovu sana na kujenga hoja mufilisi kama sio za kipumbavu kwa kutetea na kuponda upande wa pili??!!

Lumumba Kuna vijana wanalipwa kwa kutetea mazingara,je mlalakuwa kona mmeanzisha kitengo cha propaganda kwenye social medium??!!

Back to the topic- Lina kwa nyimbo nzuri ipi aliyotoa mwaka Jana inayoipita wimbo wa Wangu lady jaydee ft Blu??! Na mbona wimbo wa lady jaydee hamna wowote kwenye category lakini kawekwa kwenye mwanamziki bora??!! Hauoni ni zengwe??!!

Honestly najua Jide hapati,si kisa hasitahili Bali fitina na wizi wa mtandao wa wanyonyaji wa mziki(ikiwa tu wanakata jina laki hata kwenye wimbo wa Jikubali alippyajwa na Ben Paul wakiupigaga clouds),na 70% ya tuzo zitaenda tht na wasanii ambao wapo chini ya management ya clouds,majambazi ya mziki yanasubiri kupata hela kupitia tour ya mikoani kwa washindi wa tuzo chini ya Kilimanjaro via ambapo huchota fungu la tour na kuwalipa underpay wasanii kwa pesa ya tbl kwa kisingizio watawapa promo na shows zaidi!!

Toeni mapovu kwa hoja!!
 
Asante sana, yaani hawa watu id zao zikitokea tegemea kashfa kwa JIDE, wakati fulani si lazima muongee, haiwezekani mtu akawa hana jema hata moja. Pia km wewe huoni nyimbo nzuri za jd wengine wanaziona, hizo hizo za kufukuzia ndege wengine zinagusa maisha yao. Angekuwa mbaya km jinsi post zenu zilivyo asingekuwa anashirikishwa na wasanii wengi na kila song inabamba.
 
Vibaraka hao,tazama hata recruitment ya wafanyakazi wa clouds media,wanachukua watu ambao sio professional ili iwe rahisi kuwatumia,mapresenter wao wengi ni form four waliofeli,wakipewa kazi basi wanajiona miungu watu,ni wachache sana waungwana na wastaarabu kama Anord Kayanda na Millard Ayo!!
 
Samahani lakini, Helloo,Gang chomba,Nyani Ngabu &co- kwenye threads za tht,clouds,rugay co workers wa clouds kwa nini mnatokwa mapovu sana na kujenga hoja mufilisi kama sio za kipumbavu kwa kutetea na kuponda upande wa pili??!!

Lumumba Kuna vijana wanalipwa kwa kutetea mazingara,je mlalakuwa kona mmeanzisha kitengo cha propaganda kwenye social medium??!!

Back to the topic- Lina kwa nyimbo nzuri ipi aliyotoa mwaka Jana inayoipita wimbo wa Wangu lady jaydee ft Blu??! Na mbona wimbo wa lady jaydee hamna wowote kwenye category lakini kawekwa kwenye mwanamziki bora??!! Hauoni ni zengwe??!!

Honestly najua Jide hapati,si kisa hasitahili Bali fitina na wizi wa mtandao wa wanyonyaji wa mziki(ikiwa tu wanakata jina laki hata kwenye wimbo wa Jikubali alippyajwa na Ben Paul wakiupigaga clouds),na 70% ya tuzo zitaenda tht na wasanii ambao wapo chini ya management ya clouds,majambazi ya mziki yanasubiri kupata hela kupitia tour ya mikoani kwa washindi wa tuzo chini ya Kilimanjaro via ambapo huchota fungu la tour na kuwalipa underpay wasanii kwa pesa ya tbl kwa kisingizio watawapa promo na shows zaidi!!

Toeni mapovu kwa hoja!!

Mie naomba tu ufute povu na miudenda hiyo kisha kuanzia leo fahamu kuwa mimi sikubaliani na hizo sarakasi za huyo Bibi.

Kisha elewa kuwa mimi ni adui namba moja Clouds Media lakini uadui wangu ni pale tu wanapotenda matendo yasiofaa na yanayoripotiwa na kuthibitishwa kama alivyofanya Sugu.

Huo upuuzi wa watu wanaoelekea kukata roho kimuziki na hatimae kupandikiza chuki tu dhidi ya Clouds mie siwezi kuwa pamoja nao hata kwa malipo.

Siku za karibuni tumeshasikia kauli zinapaa mitaani kuwa Clouds wanawanyonya wasanii...je ulipata kujiuliza wanawanyonya kivipi?
Au na wewe umekurupuka Kanga begani na kujenga chuki na hata kuamini kuwa Clouds wanawanyonya wasanii?

Uliwahi kuhoji kama wanawanyonya je wanawang'ang'ania wanini?
Kwanini wasiwe na umoja ili kuweza kuvipinga kwa pamoja vitendo hivyo viovu kama vipo kweli?

Wanaosema wamenyonywa je sheria hawazzijui?
Au walipofanya kazi na Clouds je waliingia nao mikataba?
Kama mkataba unasema clouds inatakiwa imlipe Judy Mbibo milioni 5 then clouds wamemlipa laki 3 si aende mahakamani?
Au na hilo nalo liwekwe kwenye rasimu ya katiba mpya?

Msiwe mazezeta wa kupokea tu malalamiko na kuanza kuyasambaza pasipokuwa na ushahidi...

Njoo na hoja nikujibu.
Unless utakipata unachokitaka
 
Back
Top Bottom