wakitoka hapo watakuja na polisi bora na nurse bora na daktari bora nadhanihuu usanii tu wajasiliamari wamekaa wakawaza watapata wapi pesa ndipo wakapata wazo la changa la macho la mwalimu bora na watapiga pesa kweli maana michango sana na back up ya serikali.
Hazina tofauti na anazotoa nancy sumari kwa wanawake usanii mtupu hakuna lolote
yaani nimeshindwa kuelewa vigezo gani wanatumia mkuu...hii ni fair kweli?huo ni ujasiliamali wa watu wachache waliokaa na kupanga namna ya kutengeneza pesa ndefu,wakakubaliana kwa usiri mkubwa,siku hiz kutengeneza pesa lazima uwe smart
yaani nimeshindwa kuelewa vigezo gani wanatumia mkuu...hii ni fair kweli?
kuna mwalimu yupo kibondo ,kuna mwalimu yupo ngara. kuna mwingine anafundisha uhuru dar mjini kabisa kila mmoja ana mazingira yake , yani sielewi hii mechi inachezeshwaje? mkuu Matola hebu njoo hapa unipe jibukupata vigezo kwa kutenda haki haiwezekani,apo ni ujanja utatumika mambo za 50%
kuna mwalimu yupo kibondo ,kuna mwalimu yupo ngara. kuna mwingine anafundisha uhuru dar mjini kabisa kila mmoja ana mazingira yake , yani sielewi hii mechi inachezeshwaje? mkuu Matola hebu njoo hapa unipe jibu
Kama kuna mtumishi/mfanyakazi bora. Kwanini mwalimu bora asipatikane?
Ni suala la kuandaa vigezo na kuratibiwa tuu
sijui atakuwa mama nani?
mkuu hebu tufafanulie tupe mfano kidogo tu wanatumia vigezo gani?
Wanaweza wakaanzia kuratibiwa kuanzia wilayani, mkoani hadi Taifa ; kwa mfano Ubunifu wa mwalimu kwenye taaluma (academics) na miradi (projects), idadi ya wanafunzi wanaofaulu hilo somo in %, kiwango cha kukubalika kwake kwa wanafunzi na walimu wenzie (base on annual assessment), Mchango wa mwalimu katika shule yake na somo lake, kamati au bodi mbalimbali (kama ame add value), Records za nidhamu na uwajibikaji wake (hana maonyo/memo),uzoefu, uwezo wake wa kujiendeleza, records zake za machapisho kama vitabu,paper au articles, to mention the few
kweli mkuu ,hii nchi kweli ni shamba la babu kila mtu najivunia anavotaka
kuna mwalimu yupo kibondo ,kuna mwalimu yupo ngara. kuna mwingine anafundisha uhuru dar mjini kabisa kila mmoja ana mazingira yake , yani sielewi hii mechi inachezeshwaje? mkuu Matola hebu njoo hapa unipe jibu
tuendelee kuwasikiliza tuone mwisho wao ila siielewi kwa kwelimie nilijiuliza swali hilo hilo, huyu mwalimu wa huku kijijini kwangu njoro wanamfikiaje kwenye hizo tuzo zao, kama nililisikia vizuri sijui kuna uchangiaji kwa njia ya m-pesa, nina hakika gani huo mchango unawafikia vipi walengwa esp wale wa huku vijijini kwetu? Tunaona mapics kibao za shule za huko vijijini, sijui mwalimu mmoja anafundisha std zote na ofisi yake ipo chini ya mti,walimu wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu sana kama hao wamepangwa kwenye category gani ya hizo tunzo zao au zinakwendaje kwendaje hizo tuzo?