Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Hii tuzo ni kamari plus plus.Na kwa jinsi serikali ya CCM ilivyo usishangae kukuta wana vibali vyote vya kuendesha hii kamari
sijui atakuwa mama nani?
mshindi ataishia kupata laki tano bilion zitatumika kwenye mchakato wa kumpata mshindi
watu wanafanya ujasiriamali wa kufundisha ujasiriamali? Mtu anakufundisha kufuga kuku wakati kwake hana hata mti wa ndege kutuandiyo maana mimi nikasema ni usanii, watatumia mabillion katika mchakato halafu mshindi atapewa zawadi ndogo tu.
Yani watu wako kwenye ujasiriamali ni sawa na navyosikia kuna mkutano wa wajasiliamali wanawake naskia linatangazwa redioni eti kiingilio kawaida tshs 50,000 v.i.p 100,000. Sasa najiuliza hao watakao udhulia si ni wanawake wenye pesa tayari maana mwanamke wa kawaida 50,000 kwake ni mtaji anaenda kukopa finca aanzishe biashara ya nyanya hivyo haiwezi itoa kulipia mkutano.
Na mimi nitakuja na tuzo ya mchangiaji bora wa jf
Yani mimi nichangie huo umajinuni? Never!vibali vipo mkuu hata wewe unaombwa kuchangia
Hii hapahivi a/c yao ngapi tena nichangie
Wifi yako amenikera sana leo, siku yangu imeharibika kabisa.kuna mwalimu yupo kibondo ,kuna mwalimu yupo ngara. kuna mwingine anafundisha uhuru dar mjini kabisa kila mmoja ana mazingira yake , yani sielewi hii mechi inachezeshwaje? mkuu Matola hebu njoo hapa unipe jibu
Kuna hii tuzo inatangazwa atapewa mwalimu bora hapa tz
hii imekaaje wadau?
Unaweza kupata mwalimu bora kuliko wote tanzania?
If yes
kwa vigezo vipi hadi awe the best kupita wenzake wote?
Nawasilisha