Tuzo ya Mpoki

Hivi na akili zako, unaamini kabisa kwenye kupiga kura? Mimi nadhani hata kama alipata kura nyingi kiasi gani, wenye akili timamu wasingempa tuzo! Maneno kama "nyoka hana kiuno ndio maana havai shanga", wewe na akili zako ungempigia kura??? CRAP CRAP CRAP!!
kuna wapumbavu wengi sana Tanzania
tumeipigia kura CCM, tumepigia kura wabunge na madiwani wa CCM na hivyo kumvhagua mpoki haitakua jambo la ajabu
 


Wa kulaumiwa ni hawa waliompitisha hadi kushindana......they are the crapiest...

kuna kaukweli aisee... lakini sasa, unakumbuka Nyerere aliwahi kutuonya kuhusu mpumbavu akikuambia jambo la kipumbavu halafu na wewe ukalitekeleza basi wewe ni mpumbavu zaidi??

Maana yake ni kwamba sisi watanzania tuliompa kura ndio wapumbavu zaidi ya hao waliomnominate
 
hivi na akili zako, unaamini kabisa kwenye kupiga kura? Mimi nadhani hata kama alipata kura nyingi kiasi gani, wenye akili timamu wasingempa tuzo! Maneno kama "nyoka hana kiuno ndio maana havai shanga", wewe na akili zako ungempigia kura??? Crap crap crap!!

binafsi nilishituka kama mpoki mwenyewe alivyoshituka sababu wimbo wenyewe wa shangazi siuelewagi na sijaona elimu tuliyoipata kutokana na huo wimbo zaidi ya misemo ya ya manzese na mbagala kwetu. Nikilinganisha na vibao weledi vya mjomba vyenye maudhui ya kuelimisha na kukuza kiswahili.
Kuna haja ya majaji kutoa maamuzi yao ya busara na siyo kuangalia kura tuuu! Mfano 20% alistahili no one is doubting na kama yupo basi atafakari na kusikiliza vibao vyake mara mbilimbili..............
 
Kama hamkumpigia kura Mjomba mlitaka apiteje sasa.Wabongo bwana mabahili afu tunaishia kulalamika wakati hatukufanya jitihada za kufanikisha chaguo letu spate tuzo.


Hapo umesema! Nyie fans wa mjomba ndiyo mmechemsha wala siyo waandaaji wa tuzo hizo! Wao wanaangalia kura, Mpoki na wapambe wake wamemzidi mjomba na wapambe wake katika suala zima la kujitafutia kura
 
Mimi naanzia mbali kidogo, yaani hao waliopendekeza wimbo wa kijinga namna ile na kuupata hadhi kubwa wa kuwa wimbo bora wa kiswahili-Tanzania, ni low visioned and short minded experts ndio wanaweza fanya vile! wameharibu na sikupenda no matter kura zilisemaje...kosa lilianzia mbali!
 
Mbona JK na Dr Slaa waliwekwa kundi moja la kugombea upresidal na JK akashinda ? Hapo je hamshangai pia ? Crap sio tuzo, crap ni wapiga kura !!!! :juggle:
 
Hivi nyimbo kama shangazi ya Mpoki. Utailinganisha na Adela ya Mrisho Mpoto? Msanii kama Mpoki unaweza kumlinganisha na Mrisho Mpoto. Hivi kwa Mashairi ya Shangazi mfano "Umepewa wizara Nyeti kuliko Nyeti tulizonazo". Alistahili kupewa Tuzo?

Ndo akili zetu watanzania zilivyo
 
Watanzania kutokua serious kunapimwa na vitu vingi sana.................. Lakini pia tujiulize ni walikua voters wengi? Analyse in terms of gender, age, occupation, etc...........
 
hapo walitokota waandaji kuichagua iyo nyimbo ya mpoki ktkl ushindani, upuuzi mtupu
 
Du! Nimekumbuka mstari mmoja katika ule wimbo wa Mpoki
"NYOKA HANA KIUNO NDIO MAANA HAVAI SHANGA"
 
Mbona ni kama nilisikia Mpoto kajitoa kwenye tuzo au wanaendelea kuwepo na kutajwa wakijitoa ila tuzo hawapati?! Mana hii yaweza kuwa jibu ya maswali yote yaliyopo hapa.. Sizani Mpoki angemshinda mpoto..!
 
Hivi nyimbo kama shangazi ya Mpoki. Utailinganisha na Adela ya Mrisho Mpoto? Msanii kama Mpoki unaweza kumlinganisha na Mrisho Mpoto. Hivi kwa Mashairi ya Shangazi mfano "Umepewa wizara Nyeti kuliko Nyeti tulizonazo". Alistahili kupewa Tuzo?
mkuuu hii ni TUZO ambayo ilikosewa kabisaaaaa! yaani hakustahili kupewa tuzo hiyo! MPOKI RUDISHA TUZO MKUUU MWENYEWE UNAJUA UWEZO WAKO MDOGO.
 
Mbona JK na Dr Slaa waliwekwa kundi moja la kugombea upresidal na JK akashinda ? Hapo je hamshangai pia ? Crap sio tuzo, crap ni wapiga kura !!!! :juggle:
mkuuu umenichekesh hapa na jamaaa anazunguka mawizarani kuchekacheka kama kawaida yake!
 
Najua makampuni ya simu yangependa Mpoki awepo ili meseji za kura ziwe nyingi. Lakini kumpambanisha na Mpoto ndio kosa. Yaani Adela ni category moja na Shangazi? Mpoki angepamba na Kitambi ya Bambo labda kungekuwa na mantiki. Pili ni kura tu za moja kwa moja tu ndio zinachagua mshindi? Hakuna academy (kundi la wataalam wa muziki) wanaotoa points kitaalam (50%) halafu sehemu iliyobaki (50%) inaachiwa wasikilizaji wote? Sina hakika sana ila nadhani tuzo maarufu duniani zinaendeshwa kwa mtindo huo.
 
Hivi nyimbo kama shangazi ya Mpoki. Utailinganisha na Adela ya Mrisho Mpoto? Msanii kama Mpoki unaweza kumlinganisha na Mrisho Mpoto. Hivi kwa Mashairi ya Shangazi mfano "Umepewa wizara Nyeti kuliko Nyeti tulizonazo". Alistahili kupewa Tuzo?


Alistahili kwa tuzo ya Kill awards ambayo nadhani ni ya watu wenye sifa kama za Mpoki na maneno yao niliyowekea red hapo juu...........
 
Back
Top Bottom