Tuzo ya Mpoki

Mpoki hakustahili hiyo tuzo hata kidogo.

Mpoto was best at that category.

Hivi Mpoto anaimba au anaongea?? Watanzania na longolongo wapi na wapi??? Watu wanapenda starehe kama Mpoki anavyochekesha tu hata watu hawasikilizi anaimba nini ili mradi sura yake tu basi tosha vicheko na kura kibao.

Siungi mkono hoja mheshimiwa spika
 
Kwa hakika ushindi wa Mpoki katika mashindano haya umedhihirisha kuwa watanzania wanajali sana kampeni kuliko uhalisia wa uwezo wa mgombea katika nafasi husika.Mpoki ameshinda kwa sababu alikuwa akifanyiwa sana kampeni katika kipindi chao cha Ze Komedi,fursa amabayo Mpoto hakuwa nayo.
Kiukweli wimbo wa Shanagazi wa Mpoki ni zao la wimbo wa Mjomba wa Mpoto,na hivyo Mpoki hakustahili kumshinda Mpoto,ila kwa sababu wanaochagua mshindi ni wananchi na walio wengi ni mashabiki na si wajuaji wa muzki,ndio maana yametokea yaliotokea.
Ila kutokana na ushindi hou mashindano hayo yamepoteza thamani kabisa labda waanadaji watafute njia mbadala ya kumpaata mshindi na si hii ya kupigiwa kura na mashabiki badala ya majaji wanaojua muziki.
 
Hata mimi ningekuwepo ningempigia kura Mpoki

Kwani uko wapi mpaka useme ungekuwepo ungempigia Mpoki? Kura zilikuwa zinapigwa mpaka online sasa unaposema ungekuwepo ungempigia utadhani uko sayari ya Mars au Jupiter vile! Acha unafiki hii inaonyesha kabisa unaongea not from your heart but kufurahisha jukwaa na kumbe huna ulilofurahisha zaidi umejaza thread kwa craps! Think b4 u write/talk, pia kunyamaa kimya ni uzalendo na busara...
 
Mpoto angeongea na tume ya uchaguzi wa washindi wa tuzo wangechakachua matokeo na angetangazwa mshindi kwanini hajui mbinu kama hizi..Mpotto bana
 
WAKATI MPOKI ANAENDA KUPOKEA TUZO ALISEMA HATA JOGOO ANAWAHI KUAMKA LAKINI HAWEZI KUFUNGUA MLANHO

nafikiri ni dongo kwa MPOKI
 
Mimi nafikiri wote wanaodai kuwa Waandaaji wangetumia akili kuchakachua hawatendi haki. Wakati wa mfumo wa chama kimoja hali hii ilitumika kudumaza maendelo ya TZ walikuwa wanachakachua sana, wanawekwa ndiyo bwana / zidumu fikra za mwenyekiti, Wakati ule Mr. Sugu asingekatiza hata kidogo wangechakachua tu, kwa madai kuwa si mwenzetu huyu... Hivi sasa waTZ hawana muda wa kutafakari wimbo wanataka vichekesho tu angalia watu wanaonunua magazeti ya uwazi n.k linganisha na wale wanunuao Mwananchi n.k utapata jibu. Mpoki aliangalia soko akalifanyia kazi INGAWA kwa KUKOPI hapo sipo naye hata kidogo. Kwa kura nataka iwe hivyo yule tumwonaye anafaa kwa akili zetu washiriki awe huyo huyo kama ni kwenye siasa, urembo n.k. Mimi sikupiga kura.
 
anastahili kwa sababu alishindana na akashinda!suala la kucopy nyimbo ya mjomba ni jengine km kulikuwa na kasoro ktk hilo asingekuwa nomineted, na kingine ni kwamba kazi za kisanii ni kuigana so sidhani km kuna tatizo ktk hilo!
 
Bongo uchakachuaji kila mahali!In Tanzania ni kifo peke yake kimeshindikana kuchakachua!otherwise watu wasinge dead
 
Kwa hakika ushindi wa Mpoki katika mashindano haya umedhihirisha kuwa watanzania wanajali sana kampeni kuliko uhalisia wa uwezo wa mgombea katika nafasi husika.Mpoki ameshinda kwa sababu alikuwa akifanyiwa sana kampeni katika kipindi chao cha Ze Komedi,fursa amabayo Mpoto hakuwa nayo.
Kiukweli wimbo wa Shanagazi wa Mpoki ni zao la wimbo wa Mjomba wa Mpoto,na hivyo Mpoki hakustahili kumshinda Mpoto,ila kwa sababu wanaochagua mshindi ni wananchi na walio wengi ni mashabiki na si wajuaji wa muzki,ndio maana yametokea yaliotokea.
Ila kutokana na ushindi hou mashindano hayo yamepoteza thamani kabisa labda waanadaji watafute njia mbadala ya kumpaata mshindi na si hii ya kupigiwa kura na mashabiki badala ya majaji wanaojua muziki.

Islaah unayo point hapo hata kwenye uchaguzi wa viongozi tunaongozwa na ushabiki tu.
 
anastahili kwa sababu alishindana na akashinda!suala la kucopy nyimbo ya mjomba ni jengine km kulikuwa na kasoro ktk hilo asingekuwa nomineted, na kingine ni kwamba kazi za kisanii ni kuigana so sidhani km kuna tatizo ktk hilo!

Kazi za usanii ni........ Hata ngoja ni :car: zangu mie.
 
Nadhani alishinda kwa kura, wapenzi wake nadhani walimpigia mtu na si ujumbe au mashairi!
 
mi nadhani hii inadhihirisha hiki...watanzania wana shida nyingi na hawataki kukumbushwa shida zao na bwana mpoto, ila wanataka wasahaulishwe shida zao angalau kwa dakika tano wakichekeshwa na bwana mpoki!!!!

Hii ina translate jinsi jamii yetu ilivyojikatia tamaa....ndio maana kikombe cha babu ni maarufu kuliko chloroquine ya daktari wa mwananyamala
 
kwanza haikuwa busara kushindanisha wimbo wa mpoki ambao ni wa vichekesho na wimbo wa mpoto ambao ni wa asili na wenye mafundisho, mpoki alitakiwa apambanishwe na wenzake walioimba nyimbo za vichekesho kama akina masanja ,joti na kingwendu sio kumchanganya kamaradi MRISHO MPOTO na komediani
 
Kuna haja ya kuangalia utaratibu mzima wa kutoa tuzo. Hata yeye Mpoki anajua fika kuwa hastaholi tuzo hiyo.
 
Hii inathibitisha ni namna gani izo tuzo zlivyokuwa sio serious..mjomba..,shangazi..mama mdogo inakuja sasa.
 
Ndiyo maana hata yeye alipata shock kusikia kashinda!
Thats the waste scene i ever saw in that program!...Halafu zaidi ukimsikiliza amefanya piracy ya kufa mtu ya vionjo vya Mpoto!
Thats total disgrace to the tournament as whole!

Producer ni Lamar wa hiyo nyimbo na sikiliza kazi zote za Lamaar ni za uchakachuaji wa haki miliki, hakuna mpya hapo , Ruge lazima ahakikishe Mpoki ashinde ili Lamaar awe mshindi wa best producer of the year .
 
Kwa hakika ushindi wa Mpoki katika mashindano haya umedhihirisha kuwa watanzania wanajali sana kampeni kuliko uhalisia wa uwezo wa mgombea katika nafasi husika.Mpoki ameshinda kwa sababu alikuwa akifanyiwa sana kampeni katika kipindi chao cha Ze Komedi,fursa amabayo Mpoto hakuwa nayo.
Kiukweli wimbo wa Shanagazi wa Mpoki ni zao la wimbo wa Mjomba wa Mpoto,na hivyo Mpoki hakustahili kumshinda Mpoto,ila kwa sababu wanaochagua mshindi ni wananchi na walio wengi ni mashabiki na si wajuaji wa muzki,ndio maana yametokea yaliotokea.
Ila kutokana na ushindi hou mashindano hayo yamepoteza thamani kabisa labda waanadaji watafute njia mbadala ya kumpaata mshindi na si hii ya kupigiwa kura na mashabiki badala ya majaji wanaojua muziki.
kweli kweli kabisa mkuu
 
kwa mujibu wa waandaaji wa tuzo kura ndio zilizo amua nani mshindi, wa tz wanapenda ujinga ndio maana wakachagua nyombo zenye ujinga na kuacha maaudhui
 
Tatizo wabongo tupo results oriented. Hatuzingatii kabisa wakati wa uandaaji. Hili jambo lipo hata katika mpira wa miguu na pia michezo mingine. Wakati wa maandalizi hakuna anayetoa neno, yakija matokeo ndio tunaanza kulalamika. Kwanini mnaopinga Mpoki kushinda msingepinga wakatia amekuwa nominated kwenye hiyo tuzo ? Alivyoteuliwa kushindana na Mpoto hakuna aliyesimama kubisha, ila alivyoshinda ndio tunaanza kulalama :lalala::lalala::lalala::lalala:
 
Back
Top Bottom