Tuzo ya MO Ibrahim 2013

Hatmaye ndg jk tuzo ya mo ibra imemkosa wakiwemo na marais wengne wa africa pia~source bbc swahili

Kikwete ameingiaje hapa? Tuzo inatolewa kwa marais wastaafu tena miaka mitatu nyuma, huku ni kujaribu kumpakazia rais wenu!!
 
Iweje matusi kwa watz wakati wao ndio waliomuweka JK madarakani?
JK hakuwekwa madarakani na watanzania, bali na tume ya uchaguzi wakishirikiana na usalama wa taifa.
 
Bora Mohamed ibrahim afute hiyo zawadi kwa sasa. Viongozi wenyewe wa Africa sasa hawaitaki ICC. Mpaka hapo hawana sofa tena ya ku contest kwenye hiyo tuzo. Kenyatta kaua watu 2007 Leo jk na wenzie wanasema asubiri hadi amalze urais. HAKUNA HIYO.
 
Bora Mohamed ibrahim afute hiyo zawadi kwa sasa. Viongozi wenyewe wa Africa sasa hawaitaki ICC. Mpaka hapo hawana sofa tena ya ku contest kwenye hiyo tuzo. Kenyatta kaua watu 2007 Leo jk na wenzie wanasema asubiri hadi amalze urais. HAKUNA HIYO.

Yani umepigilia msumari.. Hakuna mwenye sifa so far... na itakaa muda mrefu sana mpaka aje kutokea..
 
Nasikia FaizaFoxy ana andaa yake na lazima Marais wa Zanzibar wote wapate na wa Tanzania mmoja, ila sijui ni nani.

Kaka Lipumba pia atapatiamo-mo.
Machadema yanahangaika ovyo hakuna wa kuzuia JK kuchukuwa tuzo ya MO-Ibrahimu.
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi LOL! Eti DHAIFU anastahili kupata tuzo ya MO Ibrahim!!! Dah!!! Utendaji SIFURI, kutwa kucha kiguu na njia hata yanayoendelea nchini kwake hayajui, "Nimeelezwa, nimefahamishwa na nimeambiwa" hata tuzo ya nyumba kumi kumi hastahili achilia mbali ya Mo Ibrahim.

Machadema yanahangaika ovyo hakuna wa kuzuia JK kuchukuwa tuzo ya MO-Ibrahimu.
 
Tuzo hii ingejivunjia heshima kama ingemtunukia na ingekua ni matusi na dharau kwa watanzania.Ingekua Tuzo ya Aibu!

Afterall,Ni kwa wastaafu

Ni kweli mkuu kiongozi kama huyu hafai heri wampe Mugabe au Kageme!
 
Wakimpa Rais yeyote wa Africa mashariki itakuwa ni UNAJISI MKUBWA SANA...
 
JK ameshajikusanyia airmile kibao hana haya na hiyo tuzo. Anasubilia zawadi kutoka kwa mashirika ya ndege kama Rais aliyetumia huduma yao kuliko marais wote kwa kipindi alichokuwa madarakani.

jk ni platinum customer wa mashirika ya ndege, nasikia hawa machizi wa kiafrika wamekutana addis ababa wanataka eti ICC iwe diluted, wanaota ndoto za mchana, ICC ndiyo milembe yenu tunawasubiri mwezi mchanga upite tunawapeleka ICC kunywa dawa.
 
nilidhan rais mstaafu wa ghana anastahili sana yule jerry rawlings kwani alikuza sana demokrasia na hata upinzan uliposhinda alikabidh madaraka vizuri mpaka leo ghana nzima anaheshimiwa labda huyu jamaa mpunga ulikua umepungua maana nimeckia kibiashara pia ameanza kutetereka!!!
 


Hii tuzo angekuwa anachukua Nyerere kila mara ila si kwa hawa wasanii waliopo sasa. Kikwete hana cha maana alichokifanya hapa Tanzania katika utawala wake zaidi ya utalii na kufilisi nchi kumpa mwanawe utrilionea kwa mali za wananchi.
 
Nasikia FaizaFoxy ana andaa yake na lazima Marais wa Zanzibar wote wapate na wa Tanzania mmoja, ila sijui ni nani.

Kaka Lipumba pia atapatiamo-mo.

Yangu, wa kwanza kishaipata, mzee wa "indigo walk" Daktari wa kanoni Dr.W.Slaa, nampa tuzo ya kuhadaa Watanzania na kuweza kuwa na ma mamia ya misukule huku yeye akipeta licha ya kuwa na maadili mabovu ambayo hatujawahi kuyaona kwa kiongozi yoyote wa chama cha siasa kabla na baada ya kujitawala.

Na anazidi kuendelea kuwahadaa lakini mmo tu.

Anastahili kila tuzo kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:
[h=1]The Ibrahim Index of African Governance is a lot more detailed than you might think[/h]by MIF | 14 October, 2013
The IIAG explained...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…