Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 571
- 1,829
Siku haiwezi pita bila kunywa pepsi au coca, na nimefabya hivi kwa muda mrefu sana hadi naanza kuhofia afya yangu mbeleni.
Pia mimi ni mraibu mkuu wa sex hadi huwa nahisi kuumwa nisipoipata in 2 to 3 days.
Sisemi haya kujisifia bali kusema mzigo niliona nao.
Funguka
Pia mimi ni mraibu mkuu wa sex hadi huwa nahisi kuumwa nisipoipata in 2 to 3 days.
Sisemi haya kujisifia bali kusema mzigo niliona nao.
Funguka