Tuzingatie

Tuzingatie

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
Cjui kw nn bahadhi ya watu wana vichwa vigumu..
Mtu kaweka post anatafuta mchumba/mume/mke n.k na vigezo na njia ya kuwasiliana ambayo kubwa zaid ni sms[PM],lakin watu hawaelewi, mara mtu anakuja anasema nitafute,mara mtu kaweka namba za cm...
Sio powa hata kidogo,hata kama uko 'serious' anaweza kukupuuzia.
Kingine, wanaoweka post za uchumba wawe wawazi na wajieleze kwa ufasaha 'briefly'!,sio kama vile unafanya majaribio uone nn itatokea..kumbuka:kila kosa utakalo lifanya kwen hatua ya maisha kama hii, uchumba/mume/mke ina madhara makubwa na wengi mme shuhudia.
Take care!!
 
hivi wewe unaamini mchumba anapatikana humu? humu ni kugegedana tu hakuna ndoa humu
 
haya ni makubwa ninayojionea hapa kumbe wako wt, hivi wewe Bakulutu unatoa ushauri /pendekezo au unawakanya watu au unaona hawamaanishi? ila kumbuka hapa jf lakini, mm sijaielewa thread hii ngoja nimuulize Mentor anieleweshe labda yeye ataelewa
 
Last edited by a moderator:
Cjui kw nn bahadhi ya watu wana vichwa vigumu..
Mtu kaweka post anatafuta mchumba/mume/mke n.k na vigezo na njia ya kuwasiliana ambayo kubwa zaid ni sms[PM],lakin watu hawaelewi, mara mtu anakuja anasema nitafute,mara mtu kaweka namba za cm...
Sio powa hata kidogo,hata kama uko 'serious' anaweza kukupuuzia.
Kingine, wanaoweka post za uchumba wawe wawazi na wajieleze kwa ufasaha 'briefly'!,sio kama vile unafanya majaribio uone nn itatokea..kumbuka:kila kosa utakalo lifanya kwen hatua ya maisha kama hii, uchumba/mume/mke ina madhara makubwa na wengi mme shuhudia.
Take care!!
Pole kwa yaliyo kukuta, ila humu JF, kuwa mwangalifu sana, ni kweli kunawaonaopata wenza, na Wengi wao ni wagegedaji kama Mzabzab, ukishangaa utakuta umegegedwa wewe wamefika 100. So be carefull. ( SOrry kama wewe ni He)
 
sio lazima wote muelewe...
hata form iv kuna div 1,2,3, 4 n FLD...
 
Back
Top Bottom