Tuwekeni hapa Summary ya Polepole ili watu waelewe

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,192
Reaction score
99,924
Naanzia hapa na kila ukiweka update tutaipandisha hapa kwa faida ya wengi na kwa faida ya RAIS wetu mpendwa
1. Mwenyekiti amezungukwa na wana mtandao ambao wana maslahi binafsi
2. Mwenyekiti amuachilie Huru Lissu ili awezxe kuungana na familia yake
3. Kuna mastermind kwenye Kifo cha Magu
4. Kuna Mtu aliwahi kumfuata Polepole akiwa Ikulu Dodoma na kumjulisha mpango wa Magufuli kuuwawa na watu (aliishia hapa)
5. Mwenyekiti wa CCM asikubali kwenda kuchukua form, atakua amewadharau wananchi wake
6. UVCCM ni kama kobe, wana mtandao wanwatumia hao kufanya mambo yao
7. Ndugai hakujiuzulu kwa kupenda ila kuna Mtu "anajejifanya" ana nguvu ndio aliendesha gari from Dar to Dodoma kumshinikiza ajiuzulu
8. Kuna makundi ndani ya CCM ambayo tayari wameshaanza kusambaza materials za kampeni, na wana pesa chafu

kuna mengine.....ngoja niachie wengine
 
Hatari sana.
Samia Suluhu anasimama kwenye jukwaa la kampeni za uchaguzi mkuu anashindana hoja na Salum Mwalim , kula Luhaga Mpina.
Angataka fair election angesimama na wenye nguvu wenziye kidogo ila hao wawili ni Tyson na Mandonga .
 
Screenshot_20250808-135021~2.png
 
10. Kuna dereva wa taxi alikuta barua yenye mipango ya kuwaua viongozi akiwemo Magufuli ila wakaipiuzia maana ilikuwa na codes nyingi.

11. Wassira amepelekewa malalamiko mengi Sana kuhusu Samiah ila amekaa kimya mpaka Malissa imebidi aende mahakamani.
 
Hatari sana.
Samia Suluhu anasimama kwenye jukwaa la kampeni za uchaguzi mkuu anashindana hoja na Salum Mwalim , kula Luhaga Mpina.
Angataka fair election angesimama na wenye nguvu wenziye kidogo ila hao wawili ni Tyson na Mandonga .
Ingekua wewe ungekubali usimame na Lissu? Hahahahaahha
 
10. Kuna dereva wa taxi alikuta barua yenye mipango ya kuwaua viongozi akiwemo Magufuli ila wakaipiuzia maana ilikuwa na codes nyingi.

11. Wassira amepelekewa malalamiko mengi Sana kuhusu Samiah ila amekaa kimya mpaka Malissa imebidi aende mahakamani.
Exactly 💯
 
Back
Top Bottom