Tuwekee hapa majina ya pombe za asili unazozijua

Chimpumu,kangara,mbege ya mahindi,🤪
 
Majina yako mengi ni nick name. Jitahidi kuweka yale majina yanayojulikana rasmi.
 
"Bhunu mbundi" toka huko Arusha ingawa jina hilo linatoka huko "Mukoani" Mara.
 
Choya
 
NI wakati sahihi sasa kuitangaza Mbege kuwa kinywaji/pombe ya taifa, hii ni kutokana na heshima kubwa iliyojijengea ndani na nje ya nchi, mheshimiwa spika,nawasilisha.
Kuna siku nilikunywa hiyo kitu nikaharisha,sina hamu nayo mpaka leo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…