Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,920
Hivi mpaka mnakubaliana bei na mnaamua kuingia mkataba wa kununua/kuuziana ndege mpya, mnakuwa kweli hamjakubaliana aina ya engine ya kufunga kwenye ndege husika?
Na katika hali ya kawaida,mbali na vitu vingine,kitu kikubwa hasa kinacho-determine bei ya vyombo vya moto ni nini kama sio engine?
Mimi ni layman kwenye mambo haya ila katika hali ya kawaida nashindwa kuelewa kama contents za mkataba zitaacha kugusia details zinazohusu engine na vitu vingine muhimu.
Niliingia kwenye website ya Boeing siku kama 2 au 3 ziliopita ni kweli Tanzania tunaonekana tuliweka order ya ndege tarehe 07/12/2016 lakini aina ya engine ilikuwa bado haijawa specified/hatujachagua kama tuweke GE au RR.
Lakini ni kweli pia katika orodha hiyo kuna makampuni mengine machache ambayo nayo yanayoonekana kuweka order lakini aina ya engine haijajazwa.
Swali lingine linalojitokeza hapa ni je, unawezaje kuanza kulipia ndege ambayo hata aina ya engine bado hamjakubaliana?
Ina maana hakuna utofauti wa bei kutokana na engine au sisi bado hatujaanza kulipia?!
Kama hatujaanza kulipia,sasa tunakwenda kukagua nini?
Fungua link hii hapa chini kisha click sehemu/option ya oders and deliveries then select option ya kupata report kwa models na kisha uchagua model ya 787-7 utaona hiyo orodha.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...GL1PsarpXubkSNnvg&sig2=u9SjsdhKmszQUTnenomzJg