maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,122
- 4,857
- Thread starter
- #21
moja kwa moja raia hawapendi kusema ukweli
moja kwa moja raia hawapendi kusema ukweli
inawezekanaUzi ume cover topic 70.
Tusameheane jamani ni vile hatuna helaWaume bana utasikia
1: mi sipendi mwanamke mchunaji/ mizinga
2: mimi staki wadada wenye degree /kazi ni pasua kichwa
3: ukioa mwanamke darasa la 7 uta enjoy ndoa 😂😂
4: mahali ni kudhalilisha kama vile tunanunua bidhaa ( anasahau kama na babu yake alitoa mahali)
5: sipendi mwanamke anajifanya clasic😆😆😆
6: sipendi mwanamke anaeomba hela. 😂 atakuombaje kama unayo na unampaga?
Nb ukiona hizo dalili wala usiulize ntazame uone mwisho wake.
ilo liko wazi yaanHasa wenye vibamia na ukosefu wa nguvu za kiume ndio daily kulia Lia Mambo ya bikra
Huo msemo ndo wa yule mvuta bhangi?"Some people are so poor, all they have is money"
-Bob marley-
Nani kasema wewe hauna 😂😂😂Tusameheane jamani ni vile hatuna hela
Mi sina kweli not jokingNani kasema wewe hauna 😂😂😂
PambanaMi sina kweli not joking
aaaaaargh muhimu uhai, ayo mengine tatakujagaPambana