Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,206
- 88,986
Habari wakuu.
Najua wapo wengi kama mimi hatujawahi udhuria ata oral interview moja, maana ndio tume graduate sio muda. Lakini kwakua humu ndani kuna watu washawahi udhuria nyingi tu (serikalini na private sectors), na ata wengine ni mameneja au ma-hr wanaohusika na haya mambo, tunaombeni msaada wenu hapa.
Tutaenda kwa maswali, kama utaliweza tunaomba ulijibu moja au ata mengi kati ya haya na watakao ongeza wadau hapa chini:
1. Tufanye ndio nimeitwa interview. Ni vitu gani siku ile inabidi niende navyo? Kuna baadhi ya job vacancy zikitangazwa wanasema kabisa siku ya usaili njoo na vyeti. Je, kuna aja ya kwenda na CV na cover ltter tena? Je, naweza kwenda na plain paper, mfano wakiniuliza swali naanza kujibu kwa kuwachorea ili waelewe vema??
2. Average kunakua na interviewers wangapi? Najua namba sio constant, ila wanaweza kuzidi wa5? Maana wakiwa wengi unakua unashambuliwa sasa. Dah.
3. Ukiingia chumba cha interview, vipi kuwasalimia kuna haja ya kuwapa mkono? Au salam moja tu kwa wote mfano good morning, inatosha? Na nikikaa kwenye kiti, naanza kujieleza au nisubiri wanichokoze? vipi wakikaa kimya wananiangalia tu. Naweza kimbia mm.
4. Vipi kuhusu utani. Katikati ya interview unaweza ingizia utani?
5. Na je, mara nyingi wale interviewers wanakua wataalamu wa nilichosomea mm au wanaweza kua sio? Mfano, nimeitwa intetview ya civil engineer, je wao wanakua ma civil eng au wanaweza kua wengine tu?
Na maswali yao vipi? Yanakua ya darasani sanasana au?
Wadau nitapenda mkiongeza maswali na wataalamu tutapenda mtujibu.
Shukrani.