PesaNdogo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 1,994
- 1,293
Mara nyingi wanataka short and clear usiwapotezee muda, akisema mention you do that na akisema describe au explain Unafanya hivyo. Hujui swali wanakuuliza unasema pass ili usijizungushe na kupoteza muda.Watu 8 dah si kama ugomvi sasa.
Ok. Nadhani maswali watakua wanauliza kwa mpangilio na si kama kirabuni.
Je, swali moja inabidi nijibu kwa zaidi ya dakika 3 kweli? ie. Majibu ni short na maelezo kidogo au ndio full explanations tu.
Nilishawahi sikia kuna badhi hawapendi wewe uwe muongeaji sana. Wana penda mtu una hit point na nyama kidogo.
Mara zote anakuwepo mtaalamu wa mambo uliyosomea so uwe sahihi kujibu kwako, ni vema ukapitia ulivosoma kabla ya tukio. Maswali ya theory, practical na general knowledge yapo.