Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,202
- 25,526
Leo si mara ya kwanza kwa Yanga kusawazisha na kushinda. Tena kwenye mechi zenye tension kubwa. Waliwahi kufanya hivyo kwa Coastal Union kwenye Azam Confederation Cup.
Yanga wakarudia tena katika mchezo na Azam (wa pili kabla ya huu wa leo). Na leo tena wamerudia hilo jambo. Kupambana kusawazisha na kushinda.
Simba wanakosa hiyo spirit. Hata wanaposawazisha huishia kwenye sare. Kama kwa Al Ahly. Simba wanakosa mapambano wakiwa uwanjani.
Ni wepesi kukata tamaa au kuogopa. Simba inapaswa kujifunza jambo kwa Yanga. Kucheza ki-father hakutaifikisha kokote.
Simba hawako kama Yanga. Hata wanachama na washabiki wanajua hilo. Wao wamezoea mpira papatupapatu kama rugby tu.