Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,360
- 91,912
Yaani kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenzi) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna. Yaani hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏