kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,447
Tunasubiri video ya nassari aipeleke takukuru baada ya kumrekodi masha!
MBOWE and uongozi mzima wa CDMHuyu ndiye Masha ambaye watu walitoka mapovu kumtetea kuhusu ubunge wa EALA. Upinzani tusipobadilika tutaendelea kubaki wapinzani siku zote. We must be speculative kabla hatujaamini mtu. Ni ajabu kwamba Masha aliaminiwa hadi na viongozi wakubwa wa chama na wakamtetea kwa nguvu zote. Tukiendelea kuamini kwamba kila anayetoka CCM ni asset hatutafika popote. Others are liability. Natamani kuona upinzani unaogroom watu wake wenyewe, na inajivunia kutengeneza viongozi wake. Wapo watu wengi wenye uwezo ndani ya upinzani, hawa ndio wanapaswa kupewa kipaumbele. Sio mtu akitoka CCM mnamtukuza na kupuuza waliokulia ndani ya chama wakivumilia magumu mengi. Kuondoka kwa Masha kuwe funzo kwa Chadema na vyama vingine vya upinzani. Tujisahihishe.!
Acha kutukana watu wewe kimaWatakwaambia kanunuliwa nyumbu hawaaaa
Wewe unatumia makalio kufikiriTunasubiri video ya nassari aipeleke takukuru baada ya kumrekodi masha!
Utasikia kapewa u DCMasha atakuwa aliitwa chobis
Hapo hujatukana etiWewe unatumia makalio kufikiri