Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,648
- 164,807
Nina furaha sana kuona wana-CCM wengi wanaamua kuhamia CHADEMA baada ya kutendwa huko CCM na kuamua kufanya uamuzi wa busara wa kukihama chama hicho.
Hata hivyo,tuwe makini tusijepokea wanachama chotara mithili ya Shibuda ambao naamini watakuwa ni wachache miongoni mwa wengi tutakaowapokea.
Nisingependa kuona tunapata wanachama na hasa wabunge ambao watakaokuja kutusaliti Bungeni kwa kuwa na misimamo yao binafsi tofauti na maamuzi ya chama kwa mambo ya kitaifa kama alivyokuwa John Shibuda katika Bunge lililopita ambae alifikia hatua ya hata kukashifu viongozi wa chama hadharani akiwa ndani ya chama.
Mwanachama chotara ni yupi?
Mwanachama chotara ni yule ambae damu yake hajaibadilishwa na ambayo bado ina virusi vya CCM.
Yaani huyu ana damu ya CCM kwa asilimia fulani na kwa asilimia ndogo iliyobaki ana damu ya CHADEMA.
Ni vizuri tuhakikishe tunasimamia utekelezaji, kwa asilimia mia moja, wa kuwapa kiapo cha kisheria wanachama hawa wapya kabla ya kuwapokea ili yoyote mwenye nia mbaya ya kuja kuhujuma chama kwa kujitoa dakika za mwisho,basi ajue kabisa kuwa atashitakiwa mahakamani kwa kufanya maamuzi ya aina hiyo.