natamani kuweka mashine ya Kunyolea nyumbani
Kwani ile saloon yako umrifunga?
umesahau tuliifunga wote?
Kwani ile saloon yako umeifunga?
natamani kuweka mashine ya Kunyolea nyumbani
Siyo Saloon Ni Salon. Umeiaibisha KUNAKOTUKUKA ID Yako Na Ikiwezekana Ibadili Ya Sasa Uiite au Ujiite POPOMA Itapendeza Sana Mkuu.
HIyo saloon ni saloon gani maana nataka nikanyoe XMASS hii
Hebu soma huo mstari wa bluu halafu ufikiri.Siyo Saloon Ni Salon. Umeiaibisha KUNAKOTUKUKA ID Yako Na Ikiwezekana Ibadili Ya Sasa Uiite au Ujiite POPOMA Itapendeza Sana Mkuu.
Ni saloon cyo salon.....
Hebu soma huo mstari mmwa bluu halafu ufikiri.