Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,385
Hahaha hamna hataWachokozi mpo
Hahaha hamna hataWachokozi mpo
Hapa umetoboa siri kubwa.Bidhaa yeyote inakua na miezi sita zaidi ya ubora baada ya tarehe yake ya kuexpire!
Daaah mkuu, kwa hapa dar soda anjali inapatikana wapi?exactly, nilinunua anjali usiku, kuweka kwenye glasi , nikafanya dilution ya maji, ladha sikuielewa. Nikaangali, ina miezi kama 6 ime expire.
Mmm hii nayo mpya! Kwa hiyo hata dawa ukikuta ime expire miezi mitatu iliyopita we itikitie tuu?Bidhaa yeyote inakua na miezi sita zaidi ya ubora baada ya tarehe yake ya kuexpire!
Mkuu vingine unajiongeza mwenyewe ila nilichoandika hapo ndio standards!Mmm hii nayo mpya! Kwa hiyo hata dawa ukikuta ime expire miezi mitatu iliyopita we itikitie tuu?
Huu ni ukorofi sasa! Duh!Mimi nna kaswali pacha...sandwich ni nini? Nasikiaga tu
Mimi nna kaswali pacha...sandwich ni nini? Nasikiaga tu
Tuliopita Boarding BB tulikuwa tu najua ni Blue BandJana nilipita dukani kwa 'mangi' kununua Blueband. Zilizokuwepo ni zile ndogo kabisa nikachukua moja.
Kufika nyumbani nikapaka kwenye sandwich yangu wakati nakula nikahisi ladha imebadilika kidogo. Nikaacha kula nikaenda kuangalia tarehe ya kutumika kwenye container.
Lahaula imeisha muda wake tangu mwezi uliopita. Nikamrudishia mangi sikushangaa mangi hata hajui nini maana ya BB 15/09/17....BB ni best before ni kama expiry date.
Nimefanya kautafiti kidogo nimeona haya labda yanaweza kusaidi
Best Before Date is ABOUT QUALITY
Yaani baada ya tarehe hii quality ya hicho chakula inaanza kushuka(na ndio nilichogundua kwenye hio blueband) ila ukila HAINA MADHARA.
Use By Date is ABOUT SAFETY....baada ya tarehe tajwa usile hicho chakula kitakuletea madhara.
Use by date is about safety
Use by date is about safety and the most important date to remember! Foods can be eaten (and most can be frozen) up until the use by date, but not after. You will see use by dates on food that goes off quickly, such as meat products or ready-prepared salads. For the use by to be a valid guide, you must carefully follow storage instructions.
Best before date is about quality
Best before date is about quality and not safety. The food will be safe to eat after this date but may not be at its best. Its flavour and texture might not be as good. The best before dates appear on a wide range of frozen, dried, tinned and other foods. The best before date will only be accurate if the food is stored according to the instructions on the label.
Hahahahahahhaaaa makande kula peke yako babuKwahiyo makande mnaniachia peke yangu?
Vitumbua hapana kwa kweli.......nahitaji sausage hapo nitakuja fastakauli uje ule vitumbua huku kwetu.
Nayo niyapake blue band?Hahahahahahhaaaa makande kula peke yako babu
Weka na jam kabisa ndo yatazidi kuwa matamuNayo niyapake blue band?
Ni vipande viwili vya mkate vinavyojazwa ndani kwa aina yeyote ya chakula inaweza kuwa kuku, samaki, beef, mboga au mayai
Kumbe mpo na wengine eeh? Cha ajabu watu wananiona mkorofi etiUmetusaidia wengi.....wengine tulikuwa tunaona aibu kuuliza.