Tuwe Makini na Bidhaa Dukani kwa 'Mangi'

Jana nilipita dukani kwa 'mangi' kununua Blueband. Zilizokuwepo ni zile ndogo kabisa nikachukua moja.
Kufika nyumbani nikapaka kwenye sandwich yangu wakati nakula nikahisi ladha imebadilika kidogo. Nikaacha kula nikaenda kuangalia tarehe ya kutumika kwenye container.
Lahaula imeisha muda wake tangu mwezi uliopita. Nikamrudishia mangi sikushangaa mangi hata hajui nini maana ya BB 15/09/17....BB ni best before ni kama expiry date.

Nimefanya kautafiti kidogo nimeona haya labda yanaweza kusaidi

Best Before Date is ABOUT QUALITY
Yaani baada ya tarehe hii quality ya hicho chakula inaanza kushuka(na ndio nilichogundua kwenye hio blueband) ila ukila HAINA MADHARA.
Use By Date is ABOUT SAFETY....baada ya tarehe tajwa usile hicho chakula kitakuletea madhara.

Use by date is about safety
Use by date is about safety and the most important date to remember! Foods can be eaten (and most can be frozen) up until the use by date, but not after. You will see use by dates on food that goes off quickly, such as meat products or ready-prepared salads. For the use by to be a valid guide, you must carefully follow storage instructions.

Best before date is about quality
Best before date is about quality and not safety. The food will be safe to eat after this date but may not be at its best. Its flavour and texture might not be as good. The best before dates appear on a wide range of frozen, dried, tinned and other foods. The best before date will only be accurate if the food is stored according to the instructions on the label.
Muda uliotaja ni mfupi sana kuona tofauti inawezekana mkate.
 
Mimi pia hili limewahi nikuta sema niligundua mapema nikamrudishia. Cha kushangaza bado aliendelea tu kuziuza kwa siku zilizofuata.
 
Ndo maana kupewa risiti ni muhimu sana, inasaidia hata kushtaki but bila hicho inakuwaga kupigiana kelele na muuza duka tuu, inabidi tuwe na kanununi ya kununua bidhaa kwenye maduka yanayotoa risiti ili kutokuona umeibiwa ama kutapeliwa.
 
Viduka vya mtaani havina risiti mkuu.
 
Viduka vya mtaani havina risiti mkuu.
Na hilo ndo huwa linatu cost vibaya mno, ila kwa maisha yalivyo yakubidi uikague bidhaa kabla ya kuondoka dukani "kama bank, ukague pesa yako kabla ya kuondoka kwa Teller" sana sana bidhaa za vyakula Mkuu, waweza jiletea mi Kansa na magonjwa kisa tuu ni kuwa makini na tukilacho especialy hivi vyakula vilovyopitia viwandani vina chemicals hatarishi sana kwa afya.
 
Hatari sana mkuu.
 
Hivi pacha mimi unanichukuliaje eti...manake siku zote nikisema ukweli wangu unaona kama nadanganya. Itabidi siku moja nikualike kwangu uyaone maisha yangu pengine naweza kupata hata assist
Technic yangu inaanza kufanyakazi..
 
Acha na kuexpire. Kuna bidhaa fake pia. Kuna siku nilinunua colgate ikawa inanoga kama tope. Ikabidi niingiliwe tena. Siku hizi nanunua kwenye pharmacy tu.'mangi' haaminiki.
Ha ha ha colgate kama tope!
 
Back
Top Bottom