Tuwe makini basi kujieleza

Tuwe makini basi kujieleza

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Nimeikuta hii sehemu moja wakati napata 'zege' maana siku ya j2 sehemu ninayopata 'lunch' huwa hawaji. Nikajiuliza huyu alikuwa akimaanisha ni mikoa au wilaya?

IMG_20210328_133232.jpg
 
Ni sehemu wanapo patikana bila shaka ni mawakala wa hivyo viti wapo maeneo hayo
 
Ndio Elimu yetu ilipofikia, hajulikani hiyo ni mikoa au Wilaya. Labda alikuwa anachagua herufi zinazotoshea
 
tunduma, songea, masasi ni vigumu kutetea kuwa ni mikoa mipya
 
Back
Top Bottom