Tuwe macho na nyumba ndogo

Tuwe macho na nyumba ndogo

mzungu mmoja aliambiwa ukifika tanzania ukiuliza swali lazima ujibiwe na swali..alipofika airport akauliza nasikia tanzania mkiuliza maswali mnajibu kwa maswali""akajibiwa ""nani kakwambia""

amefanya kosa kuuliza swali hapo juu hatopata jibu jf
ndugu labda kwa kukusaidia tu usiangalie majibu yanayokukatisha tamaa ...biblia inasema """kwa maana jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu akamtoa mwanae pekee ili kila amwaminie awe na uzima wa milele""kama unaamini hivyo basi ujue msamaha uko kwa ajili yako...........

Labda muhimu naomba nikuhabarishe kuna dhambi nyingine unaweza kumtendea mtu kwa macho kumbe unamtendea mungu...especially wanawake ..wle huwa wanasema na mungu straight maombi yaop yanajibiwa haraka sana..ndio maana ukiwa na shida nyumbani muite mkeo ukiomba mwenyewe shuguli unayo...so naomba ni kuwatch out

zipodhambi ambazo ausamehewi mpaka umwombe radhi mungu na utaje upuuzi wote uliokuwa ukifanya na hapo mungu anakusamehe..na kama possible sali ukiwa na huyo mkeo.....unaweza ukaona umeomba msamaha kwa mkeo amesema nimekusamehe lakini mungu bado ajakusamehe mpaka uombe toba ya kweli kwa mungu akupe rehema zake...usijali utosamehewa utasamehewa ila ili usimame imara tubu na kwa mungu wako ukiwa na mkeo!!!

Nawatakia nyumba bora yenye mafanikio bila wa

you blessed my sunday,thank you,,,wote tujue hili katika maisha yetu,,,aiseee
 
Kama hujamwambia, mimi kwa upande wangu, naona bora usimwambie sasa hivi, tuliza bolu ila lazima umwambie atakapotuliza hasira.. Usiongeze mafuta kwenye moto.. Jaribu kuhisi kama hilo jambo angefanya yeye, hata angeomba msamaha wa aina gani, lisingetoka moyoni kwako. Na siku moja ungelipiza kisasi.

sawa kabisa

tena kisasi kingine,unapigwa kisu cha shingo usiku tu basi!!kuna upumbavu watu tunajitafutia wenyewe tu na izi ndoa,,,bora usioe kabisa uwe unatembea na kila umtakae na sio kuliza mkeo ivo,,apo kuna UKIMWI,STIs
nimesikia uchungu sana uyo mkeo anavokaa mahali na kuanza kulia peke yake aisee umemuumiza sana uyo mama.kwanini ulikuwa unamtukana?uliwekewa limbwata nini??

ukirudia na ufe
 
sawa kabisa

tena kisasi kingine,unapigwa kisu cha shingo usiku tu basi!!kuna upumbavu watu tunajitafutia wenyewe tu na izi ndoa,,,bora usioe kabisa uwe unatembea na kila umtakae na sio kuliza mkeo ivo,,apo kuna ukimwi,stis
nimesikia uchungu sana uyo mkeo anavokaa mahali na kuanza kulia peke yake aisee umemuumiza sana uyo mama.kwanini ulikuwa unamtukana?uliwekewa limbwata nini??

Ukirudia na ufe

kwa maana wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa mungu

tumpe nafasi tena


aza
 
Tamaa zimeniweka hapa nilipo sasa sina amani ndani ya nyumba nahisi kama nitalipiziwa kisasi,siku za nyuma kidogo nilikuwa na kimada nikampenda na kuanza kudharau mwandani na vituko vingi tu nilimfanyia kibaya zaidi hakuwahi kunikosea nilikuwa najisikia kutompenda na kuhamishia mapenzi kwa kimada lkn kimada huyo hakuwa mtu mzuri kwani alikuwa akipenda kujua sana mambo ya nyumbani kwangu mimi na mke wangu tunaishije,sikusita kumwambia na alikuwa akinishauri vizuri siku za mwanzo lkn baadae akawa anataka nimfanyie visa mke wangu nilikuwa nikimridhisha kwa kumuitikia ingawaje hakuridhika,akawa ananiambia nimpigie sim mke wangu nimseme ovyo nami nilifanya yote hiyo aamini nampenda.lkn kumbe mwenzangu mwingi wa habari kwasasa tumeachana nipo na my wife amenisamehe lkn mara nyingi namuona hana raha kuwa nami saa nyingine analia peke yake,NIFANYEJE MKE WANGU AWE NORMAL

Umevuna ulichopanda. Imagine huyo mkeo angekufanyia hayo? Kwa sasa vumilia tu maumivu, mwenzio keshaumia vya kutosha, sasa nawe zamu yako. Na kama tatizo hilo limeiletea ndoa yako ulemavu, basi jifunze kuishi na ulemavu huo, kubali hali hiyo tu kwani hata ukitoboka macho ukabakia kipofu inabidi tu uendelee na maisha ya kuona giza milele, subiri tu muujiza kama upo.

Unfortunately umeyataka mwenyewe. Ngoma a.k.a VVU vipi, umecheki? Usikute mwenzio keshacheki kivyake akakuta tayari, sasa kila anapokuona anakumbuka kuwa ndiwe uliyemletea hiyo kitu basi masikini machozi yanamtoka!

Wenzio hawaamiini kimada hata siku moja, na kamwe mwanaume mwenye akili hawezi kushirikiana na kimada kutesa mkewe. Kimada ni wa kudanganywa tu, maana vimada wote huwa wapo kimaslahi zaidi, mafao yakiisha basi huduma inakatwa, unarudi kwa mkeo. Kumbe mwenzetu ulinyea kambi? Umelikoroga mwana, unalo hilo!
 
endelea kumdadisi ujue kwa nini analia.

yawezekana anafikiria jinsi ya kuanza kuvunja ndoa za ma x boyfriend wake wakati anakupenda na jinsi na mzee wake atakapoanza toa chozi...mmmmh ole atakimbia nyumba huyo baba....wanwake wakiamua kukurudi mbona unalala na cndm ya mwanaume mwenzio kwenye mto tena anatumiakesho yake ....
 
Kwangu mimi kimaada sawa na ushirikina
 
Jamani asikwambie mtu hii kitu.Endeleeni tu kuisoma hapa jf.usiombe ukukute,kwa kweli inauma cha muhimi ni kumuomba mungu na mkewe msamaha.Na akisamehewa asirudie na pia ajue mkewe kurudi kwenye hali ya kawaida itamchukua muda sana ni vigumu kurudia hali yake ya kawaida kama anakupenda kwa dhati.kwa kweli inaumiza mi ni muhanga wa hii kitu.
 
mkuu uliharibu sana.....cha muhimu ni kumuonyesha kwa vitendo kuwa umechange....lkn sio rahisi kukuamini tena....itachukua muda...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom