Tuwe Macho na Mafia Dance Festival (1-15 August 2010)

ndo maana nikakwambia hujui maana ya cia.....
nafikiri hata unaposikia waandishi wa habari wa marekani
wamekamatwa huko North Korea na Iran huwa unaamini
ni kweli waandishi wa habari........
mimi na wewe tupo two worlds apart.....
hata definition yako ya facts iko very interesting....

blah blah blah..

Umehusisha CIA na hili tamasha bila facts..Yaani unaota ndoto halafu unakuja kutusimulia..ha ha ha
 
mmh.. miye hata sielewi.. kule kijijini kwetu tulikuwa na ngoma mbalimbali jioni na wakati mwingine zinahama toka kijiji kimoja kwenda kingine.. na uchezaji wangoma hizo ulikuwa kwa kweli unashinda mambo ya Wabrazili; wengine tulipata na wachumba huko (wa muda) na wengine wakajikuta wanaimbwa kabisa kwenye nyimbo za ngomani. Wakati mwingine burudani ni burudani tu.. Vinginevyo itabidi tuihame hii sayari maana kama hawaji upenuni kwenu utawaona tu kwenye luninga na kama siyo luninga unabonyeza kompyuta yako walaaa!!
 
Ishu hapa si ya kijijini au ya kwenye tv.........
ishu hapa ni kwa nini watu toka Ulaya kuja kufanya
tamasha la muziki Mafia....
suala la tv ni mpaka uwe nayi hiyo tv,na computer vilevile....
 
Maswali ya kijinga..Mbona huulizi watalii kwanini waje watembelee Tz au Mafia for that matter ??
kupiga mziki ndo imekuwa nongwa!
 
ndio nashangaa.. wazungu wamejanza katika uwekezaji hatulalamiki, wanakuja kutalii hatulalamiki, wanakuja kupanda milima hatulalamiki.. wamekuja na muziki wao tunataka kuanza kuwa sensitivu? Kama kuna Sheria watavunja washughulikiwe kwa mujibu wa sheria, lakini pia tusiiapply sheria selectively ati kwa sababu htupendi wanavyocheza!
 
mwanakiji hebu kuwa makini na sio kumfuata
huyo ambaye ana tatizo la kuelewa...
first of all sijalalamika wala kupinga chochote hapa..
nilichofanya ni kutoa mtazamo wangu kwa mujibu uzoefu wangu...

na kuhusu wananchi kulalamika you of all the people
unajua kabisa mambo mengi yanayotokea tanzania wananchi
hawalalamiki na hata walkilalamika hawasikilizwi,
kutolalamika haina maana ya kukubali kinachotokea..
hivi umewahi jiuliza kwamba shida kuu ya wanachi wa mafia
ni tamasha la muziki???????
kati ya shida zote walizonazo watu wa mafia
we unaona hawana haki ya kupinga au kulalamika kuhusu tamasha la muziki?????
unani shangaza sana......honestly........
 
Mh..makubwa haya. at least umethibitisha menyewe kuwa huna facts, bali unaleta maono yako (assumptions zisizo na kichwa wala miguu).
Swafi.

na kuhusu wananchi kulalamika you of all the people
unajua kabisa mambo mengi yanayotokea tanzania wananchi
hawalalamiki na hata walkilalamika hawasikilizwi,
kutolalamika haina maana ya kukubali kinachotokea..
hivi umewahi jiuliza kwamba shida kuu ya wanachi wa mafia
ni tamasha la muziki???????
kati ya shida zote walizonazo watu wa mafia
we unaona hawana haki ya kupinga au kulalamika kuhusu tamasha la muziki?????
unani shangaza sana......honestly........

Na maelezo haya ya jumla yanahusianaje na hii thread wajameni? Mmeulizwa toka thread inaanza, shida la hili tamasha ni nini? Hamna majibu, mnaleta assumptions zenu za stori za Abunuasi. Inashangaza kwa kweli.
 
Nipo Mafia, its a very virgin island! Hao jamaa walikuja wawakilishi wao 2 months back na wamechagua eneo moja linaitwa Chunguruma karibu na Ras Mbizi ambapo ndipo wataweka kambi zao. Eneo lenyewe ni la mzungu mmoja alikuwa na mashamba ya mnazi toka enzi hizo na pia kuna hoteli ya kitalii. Issue hapa ni business hasa kwa hotel za kitalii zilizopo ndani ya marine parks kwamba zingependa wageni wafikie kwao wapate pesa instead ya kwenda kuweka tents other place!
 
Naona kweli upo Mafia, mezani kuna ka-laptop ukicheki JF huku unakula maji ya mende kwa pembeni. lol

Naona tatizo linaonekana ni la kimaslahi zaidi hapa. Huenda hata huyu aliyeleta hii thread ndio hao tonge linataka kuwapitia pembeni ndo wanataka kuanzisha chokochoko na fitnah.

Bongo bwana ..job tru tru
 
kwa ufupi ni kuwa
ili kudhibiti islamic fundamentalist
cia wana sera rasmi ya ku sponsor mambo mengi ambayo
yana kwenda kinyume na islamic fundamentalistic ideas...
na wana sponsor thru ngos na organisations mbalimbali...
tazama matamasha ya kimataifa ya burudani Zanzibar..
na yote utaona kuna wazungu nyuma yake....
sio Zanzibar tu nchi nyingi zenye waislam wengi au maeneo yenye waislam
wengi,huwezi kukuta tamasha hilo mbeya au bukoba,but zanzibar au mombasa
au mafia.

hivi visiwa ndo maana ni visiwa giza akili zenu zipo giza hivo!!

Mafia mnanini had CIA waingie huko waache kuhangaika na saudi arabia n nchi zenye influence waje kisiwani tena visiwa giza[emoji23][emoji23][emoji23]uchawi huanzia kichwani
 
Back
Top Bottom