SHARTI kwamba asimuone tena na mama huyo.Licha yakua ni mgeni katika jiji hlo la Maraha na tabu nyingi
Katavi
ndani ya mwaka huo mmoja alio kaa pale ali weza kufahamu mitaa na viunga mbalimbali vya jiji hilo
Katavi ali tokea kufahamiana na watu wengi na kuwa MTU WA WATU kama mdogowake
Preta Filipo alivyo penda kumuita.
Preta alikuwa na kazi nyingi sana pale ofisini kwake
Bishanga Advocates(BA) ambazo wakati mwingine humfanya arudi nyumbani usiku na akiwa amechoka,hvyo kutokupata wasaa mzuri wa kuongea na
Katavi kwa siku kadhaa.
Weekend moja kama kawaida yake
Preta hupenda sana kwenda salon then hupitia
Madame B's Unique Boutique kuangalia viwalo kwaajili ya kuvaa ofisini, alipo rudi nyumbani
Katavi aligundua kuawa
Preta alikua si mtu mwenye furaha kama alivyo mzowea....
"
Preta vipi unaumwa?"
Katavi ali uli muuliza
Preta, "hapana siumwi ila najisikia uchovu tu" alijibu
Preta huku akitikisa kichwa
Katavi alidhani kichwani mwake kunakitu kamuudhi binti huyu mzuri na mpole
Preta lakini ukweli ni kwamba
Bishanga bosi wa
Preta ndiye anaye mkosesha raha
Preta kwakua anamtaka preta kimapenzi kwa muda mrefu hivyo
Preta kukosa raha muda mwingi lakini hakutaka mtu yeyote afahamu Jambo hilo hivyo akaamua..............