Preta akaanza kumwita kondakta....."konda konda mwambie dereva asimamishe gari kuna mtu ametapika",mara konda akaanza kufoka kwa sauti ya juu "We bhana unatapikaje ndani ya gari angalia sasa umechafua kila sehemu"konda akampa Katavi kitambaa iliyochafuka oil chafu ili asafishe kiti.Wakiwa njiani kuelekea dar Katavi alikuwa akiangalia nje masaa yote..Kwa kuwa hakuzoea kusafiri mwendo mrefu,walipoenda Kama km 20 hivi Katavi alianza kutapika.
Hali ile ilimchefua sana Preta aliyekuwa pembeni yake ila alimuhurumia sana.
Preta akaanza kumwita kondakta....."konda konda mwambie dereva asimamishe gari kuna mtu ametapika",mara konda akaanza kufoka kwa sauti ya juu "We bhana unatapikaje ndani ya gari angalia sasa umechafua kila sehemu"konda akampa Katavi kitambaa iliyochafuka oil chafu
ili asafishe kiti.[/QUOTE
Baada ya konda kutoa kitambaa kile kichafu Preta alimuhurumia sana Katavi akampa kitambaa.
Katavi naye akajiona na yeye ni mtu katika watu.

Kile kitendo cha kutapika kumlikosesha raha Katavi,akawa anakaa kwa wasiwasi huku akisikia abiria wa siti za nyuma wakiongea na kumbeza kwa sauti za chini chini Preta alijifanya kuwa mcheshi ili katavi asijisikie vibaya