Tuwawezeshe jamani tusiwapuuze!!!!!!

Tuwawezeshe jamani tusiwapuuze!!!!!!

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
[h=3]WAKIWEZESHWA WANAWEZA!!!!!!!!!![/h]

​
ghorofa bila vipimo
​
Akipukuchua mahindi

​
Kufanya vitu kama hivi picha zinavyojieleza ndivyo tunaweza kuona jinsi gani akili zao zinavyofanya kazi kwa ubunifu,labda hata shule hawajaenda wanaweza kufanya maajabu hayo je wangesoma zaidi ingekuaje? serikali au watu binafsi wakiweza kuwasidia watu hawa watakuwa faida la taifa,UJUMBE KWA JAMIII TUWAWEZESHE ILI WAWEZE WENYEWE DUNIA KUJIFUNZA AU KUELIMISHA.
 
Nimeipenda ghorofa. Nani aliyesema hakuna vipimo? Ingekuwa hakuna vipimo hilo paa lingekataa

si kwamba paa lingekataa, yaani lingekua limeshadondoka tayari, kijijini kwetu kule mwika mwika kulee, kuna eneo linaitwa ghorofani yaani mtu huyo pekee miaka ya 80 alijenga ghorofa la miti na udongo la ghorofa 4 wanaoyafahamu maeneo hayo watakua wanalipata fresh yaani alikua na wake 4 kila mke na floor yake nikienda ntalitupia humu mlione ingawaje limechokachoka kidogo....
 
Huyo kwenye Baskeli anafanana na saudari

viatu.jpg
Mi najua unahasira na mimi kisa nilikununulia viatu vikubwa.
CC: ameline
 
si kwamba paa lingekataa, yaani lingekua limeshadondoka tayari, kijijini kwetu kule mwika mwika kulee, kuna eneo linaitwa ghorofani yaani mtu huyo pekee miaka ya 80 alijenga ghorofa la miti na udongo la ghorofa 4 wanaoyafahamu maeneo hayo watakua wanalipata fresh yaani alikua na wake 4 kila mke na floor yake nikienda ntalitupia humu mlione ingawaje limechokachoka kidogo....
Hiyo sehemu huwa mvua haijeshi nini?
 
Hiyo sehemu huwa mvua haijeshi nini?

mvua ndo usiseme halafu cha ajabu kajenga mlimaniii kwetu mvua ni kawaida bila hata msimu coz tupo karibu na mt kilimanjaro so barafu za asubuh lazima masika kama hii ndo usisema na halijawahi kuanguka, imekua eneo la kihistoria kwani wajukuu huokota vishilingi vya wazungu wanaoenda kulishangashangaa
 
si kwamba paa lingekataa, yaani lingekua limeshadondoka tayari, kijijini kwetu kule mwika mwika kulee, kuna eneo linaitwa ghorofani yaani mtu huyo pekee miaka ya 80 alijenga ghorofa la miti na udongo la ghorofa 4 wanaoyafahamu maeneo hayo watakua wanalipata fresh yaani alikua na wake 4 kila mke na floor yake nikienda ntalitupia humu mlione ingawaje limechokachoka kidogo....

Aisee....ghorofa 4?! Kweli wataalam tunao....
 
miaka ya 80 sasa, mwenzio nimezaliwa nalikuta, nitalitupiamo ngoja nikienda, tunao sana tu but government yetu inawapotezea haitak kuwapa nafasi wanawaamini maoutsiders sana kuliko wazawa.
 
Back
Top Bottom