Optimistic bourgeoisie
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 236
- 280
.
mkuu na wewe ulikua mnaa?Aaahhhh mkuu tuache sisi na pension yetu
Form one wananijua mkuumkuu na wewe ulikua mnaa?
Mkuu simulizi ya huyo jamaa imenitengenezea Siku.nimecheka mnoooooKuna jamaa alikuwa na jina la utani Major, Tambaza Sec, jamaa alikuwa mkuria fulani hivi, yeye ukiranja wake ni Jikoni na mesini, sahani yake ilikuwa mfuniko wa ndoo ya plastic, alikuwa mwembaba lakini anakula Kisado cha wali Nyama (Top layer), ninachojua alipata Zero form four sijui alienda wapi hope yupo jeshini

ulichokiandika kimenitengenezea siku nmecheka mnoMkuu simulizi ya huyo jamaa imenitenfenezea Siku.nimecheka mnooooo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Kuna jamaa alikuwa na jina la utani Major, Tambaza Sec, jamaa alikuwa mkuria fulani hivi, yeye ukiranja wake ni Jikoni na mesini, sahani yake ilikuwa mfuniko wa ndoo ya plastic, alikuwa mwembaba lakini anakula Kisado cha wali Nyama (Top layer), ninachojua alipata Zero form four sijui alienda wapi hope yupo jeshini

Haya ndiyo matatizo ya hivi vilongalonga vyetu. Umelenga neno Fulani lakini ukigusa tu neno lingine kabisaaaaaa. Ngoja nikaedit aisee ni aibuulichokiandika kimenitengenezea siku nmecheka mno![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Mpo wapi saizi? wewe nawe! saizi ndiyo nini, inaelekea Tambaza ulikuwa unapenda sana kula wali nyama; wewe mwenyewe umeshindwa kukunjika, Mpo wapi saizi ndivyo mwalimu wako wa kiswahili alivyokufundisha.Wakuu habari zenu.
lengo kuu la kuanzisha Uzi huu ni kutaka kutambua walipofikia wenzetu ambao tuliwahi kusomanao katika ngazi tofauti tofauti ( primary/secondary/advanced level) , na walikua miongoni mwa wenzetu wachache ambao waliaminiwa na kupewa mamlaka ya kutuongoza kipindi hicho lakini wakatupeleka ndivo sivyo yaani kinyume na matarajio.
Ikiwa pamoja na kuchongea wenzao kwa walimu au wao binafsi kutoa adhabu zisizokua na kichwa wala miguu ilimradi tu aonekane yeye ni bora kuliko viongozi wenzake katika kuchapa kazi.
Wengi tunao humu sema hatutambuani sababu ya ID makinikia hivyo Ujumbe utafika tu.
Binafsi nianze na
- Juma jafary na Magania ( songea boys)
-Lazaro Mbilinyi (wenda sec)
Mpo wapi sikuizi waungwana?
Mnaishi maisha haya haya tunayoishi au wenzetu mnakula pension za wastaafu wa uongozi mashuleni?
Najua kila shule haikosi watu wa namna hii.Je ni yupi alikua kiongozi kero kwako?
"Tuwaseme ili wajirekebishe huko waendako maana Samaki akunjwe angali mbichi na duniani hakuna uongozi wa kudumu."
Mpo wapi saizi?
Mkuu ulipiga songea boys?Ha ha ha ha hao wa Songea Boys nmewakumbuka sanaa haswa Magania
wataje tu mkuu ha ha haaaahWengine wapo humu JF naogopa kuwataja hahah

msala huo mkuuwataje tu mkuu ha ha haaaah
Ha ha haaaaa aisee watu wa dizaini iyo kila shule hawakosi..Wakuu habari zenu.
Lengo kuu la kuanzisha Uzi huu ni kutaka kutambua walipofikia wenzetu ambao tuliwahi kusomanao katika ngazi tofauti tofauti (primary/secondary/advanced level) , na walikua miongoni mwa wenzetu wachache ambao waliaminiwa na kupewa mamlaka ya kutuongoza kipindi hicho lakini wakatupeleka ndivo sivyo yaani kinyume na matarajio.
Ikiwa pamoja na kuchongea wenzao kwa walimu au wao binafsi kutoa adhabu zisizokua na kichwa wala miguu ilimradi tu aonekane yeye ni bora kuliko viongozi wenzake katika kuchapa kazi.
Wengi tunao humu sema hatutambuani sababu ya ID makinikia hivyo Ujumbe utafika tu.
Binafsi nianze na
- Juma jafary na Magania (Songea boys)
- Lazaro Mbilinyi (Wenda sec)
Mpo wapi sikuizi waungwana?
Mnaishi maisha haya haya tunayoishi au wenzetu mnakula pension za wastaafu wa uongozi mashuleni?
Najua kila shule haikosi watu wa namna hii.Je ni yupi alikua kiongozi kero kwako?
"Tuwaseme ili wajirekebishe huko waendako maana Samaki akunjwe angali mbichi na duniani hakuna uongozi wa kudumu."
Mpo wapi saizi?